Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hawako hapa kuelimisha au kuongea ukweli, wapo hapa kushinda battle, kwahiyo vyovyote itakavyokua wataeleza hata kama ni uongo wa kufa mtu.Kwanini mnaogopana kukosoana mwenzenu akipotosha?
Hawako hapa kuelimisha au kuongea ukweli, wapo hapa kushinda battle, kwahiyo vyovyote itakavyokua wataeleza hata kama ni uongo wa kufa mtu.Kwanini mnaogopana kukosoana mwenzenu akipotosha?
Imagine, watu wanaishi na ratiba za kuwa fumigated kama mifugo! 😂A country where they loot unga and booze from overturned trucks 🤣🤣🤣
The point remains standing that foreigners are the biggest shareholdersHawako hapa kuelimisha au kuongea ukweli, wapo hapa kushinda battle, kwahiyo vyovyote itakavyokua wataeleza hata kama ni uongo wa kufa mtu.
Kukiwa na maana ili washindane na Tanzania inawabidi watumie uongo. 😂😂😂Hawako hapa kuelimisha au kuongea ukweli, wapo hapa kushinda battle, kwahiyo vyovyote itakavyokua wataeleza hata kama ni uongo wa kufa mtu.
Hakuna shareholder kutoka norfund kinachojulika na shareholder anayetambulika ni arise bv ambayo inamilikiwa na hao uliowataja na huyo ndo foreigner kumbuka nmb almost 60% ni kutoka Tanzania wakat nyinyi majority shareholder ni foreigner'sBiggest shareholders to NMB ,👇
Norfund, FMO and Rabobank
Hivi kweli Kenya, sasa hii SGR yeu ina tofauti gani na METER GAUGE.
Kelele, nganganga😅😅😅
Halafu imagine, mlijenga kwa bei kubwa mpaka mmeshindwa kulipa deni
View: https://youtube.com/shorts/qFojyNcf_Pk?si=C1CLNQxHtDqR0PRV
Wewe ambaye jana ulikuwa unamwambia instanbul abadilishe definition ya CBD ndio ashinde mjadala ndio wa kuambia watu eti wako hapa kushinda battle na sii kuelimishana? Kama kuna ng'ombe yenye iko hapa kushinda battle ni wewe.Hawako hapa kuelimisha au kuongea ukweli, wapo hapa kushinda battle, kwahiyo vyovyote itakavyokua wataeleza hata kama ni uongo wa kufa mtu.
Hivi kweli Kenya, sasa hii SGR yeu ina tofauti gani na METER GAUGE.
Kelele, nganganga😅😅😅
Halafu imagine, mlijenga kwa bei kubwa mpaka mmeshindwa kulipa deni
View: https://youtube.com/shorts/qFojyNcf_Pk?si=C1CLNQxHtDqR0PRV
Usiwaamshe waliolalaNginjanginja! Wako YouTube wakijaribu ku-substantiate wizi wa UHURUTO! Wengine wanadai Diesel SGR ina uwezo wa kubeba mizigo zaodi ya electrical SGR!
Yet sisi hatunanga shida if things are owned by foreigners because we are informed. 😄😂They focus so much on who owns Kenya they forget who owns Vumbistan. 🤣 🤣
Which loss?Likewise has been the first to post the biggest loss in the region 😁
Sasa hata heri Zimbabwe, NMB is owned by a state corporation from Norway after they bought it from the Dutch. Yani munazungushwa Kwa wale wazungu nyinyi hujifanya munawachukia. 🤣🤣Mmiliki toka Zimbabwe Yuko wapi?🤣🤣🤣🤣
Arise B.V. is a Dutch equity investor with a focus on Sub-Saharan Africa, particularly the financial services sector. It was established as a joint initiative between Rabobank, Norfund, and FMO to invest in Tier 1 African banks. Arise aims to support sustainable and resilient financial institutions that promote financial inclusion and rural development.
Arise B.V. has made significant investments in several African financial institutions, including Ecobank Transnational Incorporated (Ecobank) and NMB Bank Plc in Tanzania. These investments are part of Arise's broader strategy to drive economic growth and reduce poverty in the region.
Arise B.V. is also known as Arise IIP (Arise Integrated Industrial Platforms) and Arise. Arise IIP focuses on industrial development in Africa, including the establishment of industrial parks and special economic zones.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yet sisi hatunanga shida if things are owned by foreigners because we are informed. 😄😂
Kwani safaricom inamilikiwa na nani?🤣🤣🤣😂Sasa hata heri Zimbabwe, NMB is owned by a state corporation from Norway after they bought it from the Dutch. Yani munazungushwa Kwa wale wazungu nyinyi hujifanya munawachukia. 🤣🤣
Hatuchukii wazungu, ndio maana tunataka investors.Sasa hata heri Zimbabwe, NMB is owned by a state corporation from Norway after they bought it from the Dutch. Yani munazungushwa Kwa wale wazungu nyinyi hujifanya munawachukia. 🤣🤣
Baada ya kugundua all your top banks are owned by foreigners. 🤣🤣🤣Hatuchukii wazungu, ndio maana tunataja investors.
We don't just sell them the country forever.
How?Baada ya kugundua all your top banks are owned by foreigners. 🤣🤣🤣