Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaan kampuni Haina hata 0.01 market share ndo unatuletea
Leo nayo utaumia sana kijana. 🤣🤣🤣 Ukijaribu kuinua kichwa unapatana na rungu.

images (27).jpeg
 
Kwa hivyo huko bongoslum kampuni za simu sio Internet providers? 🤣🤣 Maajabu.
Haha internet provider still yet Kuna specialized companies ziko specific kwa ajili ya kutoa huduma ya fixed internet mfano simbanet. Kwa hiyo hicho ulicholeta ni kamfano kadogosa sana ka internet provider na hata ukiangalia hakana mapato kwenye mawasiliano ya simu voice calls🤣🤣🤣🤣
 
Wacha hata 40% serikali, Jamii Telecom is 100% owned by a Kenyan.
Ndiyo kampuni gn hiyo? Au ndiyo miongoni mwa zile kampuni 1000 za kikenya hapa bongo zenye jumla ya mtaji $500m? Yani kampuni 1000 za wakenya mtaji wake unazidiwa na kampuni mbili za watanzania kule Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom