Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,099
- 32,920
Ndio lakini alikuwa mwaka mmoja mbele yangu pamoja na akina Palamagamba na Mwakyembe. Au unafikiri mimi ni kijana mwenzako?😎Wewe ulisoma na Makau Mutua?🤣🤣
Ndio lakini alikuwa mwaka mmoja mbele yangu pamoja na akina Palamagamba na Mwakyembe. Au unafikiri mimi ni kijana mwenzako?😎Wewe ulisoma na Makau Mutua?🤣🤣
Haha ebu tulinganishe na hizi zenu ambazo mmekosa mpaka hela ya tofariHizi ndio nyumba quality. 🤣🤣
Hii ushamba ndio mumeambiwa na Hanspaul muwache.
View attachment 3326972
Tanzania nyumba kama hizi uhangaiki kutafuta angles hivi ni kila mahaliBado hii ni Kenya. Pole sana.
![]()
![]()
![]()
First of all, if you are old enough to have been in school with Makau Mutua and you are still here behaving like a 16 year old then you need to get a life.Ndio lakini alikuwa mwaka mmoja mbele yangu pamoja na akina Palamagamba na Mwakyembe😎
Kenya hatuhesabu informal employment kama employment, hio ni yenu nyinyi wa informal economy. The fact that we have a bigger tax base confirms nchi gani ikona watu wengi kwa formal employment.Na unemployment rate yenu ni 10 times ya Tanzania, pesa ya Kenya inatumika wapi Tanzania? Wapi utaenda ipokelewe?
Shobo zao tu, kutafuta sifa wakati uwezo mdogo bora tungeenda na Rwanda.Sasa watuambie ni serikali haijalipa hela ama contractor hela imeanza kukata? Msituaibishe tuu kwenye AFCON 2027
Only in bongoslum, Nyumba ina master bedroom lakini choo iko nje. 🤣🤣 Hii ushamba ndio mumeambiwa muwache.
View: https://x.com/secure_estates/status/1842290127080481061?t=hHX_8eJrb5cSj7rvW7zVtA&s=19
Kama kawaida battle ni Kibera vs Dar is a slum. Nairobi Metro hamuwezani nayo.Haha ebu tulinganishe na hizi zenu ambazo mmekosa mpaka hela ya tofari View attachment 3326973View attachment 3326974View attachment 3326975View attachment 3326977
So you thought I am your younger brother; right? Ha ha ha😁😂😂First of all, if you are old enough to have been in school with Makau Mutua and you are still here behaving like a 16 year old then you need to get a life.
Secondly, you don't come across as an educated fellow to be honest.
Hamhesabu informal sector??Kenya hatuhesabu informal employment kama employment, hio ni yenu nyinyi wa informal economy. The fact that we have a bigger tax base confirms nchi gani ikona watu wengi kwa formal employment.
Hii ndio ushamba munaambiwa muwache, sio lazima cloakroom ikue nje, lakini sasa ona vile una fikira za kishamba na kimaskini.Hamjazoea haya maisha ndo maana mnaambiwa ni maskini .
Faida ya choo cha nje
1) kwa ajili ya wageni hasa mnapokuwa mmepumzika nje
2) kwa emergency ikitokea Kuna hitilafu ndan badala ya kwenda kunya kwenye mifuko kama wakenya
3) kwa ajili ya wageni kama mafundi au watu waziada ambao tusingeenda waingie ndani
Sasa kwa sababu ya ushamba wa wakenya mkisikia nyumba ni self contained kwa sababu hayo maisha kwenu ni mageni mnaona ni ajabu sana