Mbona nyuma ya State house yenu kuna ile lovely river na slum. Kwani tumeongea chochote sembuse soko la samaki?Soko ya samaki ni jirani ya ikulu. 🤣🤣. Basi that's the most unplanned CBD on earth, no wonder hakuna mtu anajua boundaries ya hio CBD. Kila mtu akona demarcations zake hata Google maps haijui.