Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣 🤣 🤣 🤣

🤣 🤣 🤣 🤣

Darasa la 7, Tanzania kwa Kenya ni Darasa la 8.

Kenya ukiacha Kiingereza walichowekeza sana, hawana jipya
 
Sisi tunaenda mpaka darasa la 7. Then, form 1.

Kenya mpaka darasa la 8. Then , form 1.

Kenya hakuna high school. TZ kuna high school, miaka 2.
Kenya hakuna high school, kuna nini? 🤣 🤣 🤣 Kama hii ndio elimu ya bongoslum, heri hata kutoenda shule.
 
Calculus is taught in high schools all over the world, sijui hata mbona unauliza swali la upuzi.

View: https://www.youtube.com/watch?v=38nDV679Hao

Umelianzisha mwenyewe, sasa unatapa tapa.

Huu sio uthibitisho rasmi wa elimu ya sekondari kenya kufundisha calculus. Leta mtihani ambayo wanafunzi wa kenya wanaulizwa maswali ya calculus. Sisi o' level baadhi ya shule zinafundisha calculus, rasmi. Ukitaka uthibitisho wa mitihani ya NECTA ya form 4 ya maswali hayo, nitakupatia.

Rasmi ni official BTW
 
Sasa unabishana nini? 😄 Ni wewe umesomea Kenya au ni mimi? Ukitaka exam paper, enda KNEC wakupatie basi.

View: https://youtu.be/8wCU-smaKFY?si=QN8hxmvjc3LLe4gt
 
I dare you uingie Kwa Google maps unionyeshe hio slum nyuma ya statehouse. Unaokota propaganda online unadhani ni ukweli. Piga screenshot ya hio slum nyuma ya Statehouse sahii kila mtu aone.
1746702731154.png

I dare you uingie Kwa Google maps unionyeshe hio slum nyuma ya statehouse. Unaokota propaganda online unadhani ni ukweli. Piga screenshot ya hio slum nyuma ya Statehouse sahii kila mtu aone.
 
Back
Top Bottom