Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
Meanwhile sisi tunapunguza uhitaji wa vivuko kwa kujenga state of the art bridges!
View: https://www.instagram.com/reel/DJTPsatK5Hz/?utm_source=ig_web_copy_link
Kuishi Kwa estate Nairobi sio big deal. Naona mumezoea poverty huko Dar is a slum hadi unadhani the super rich pekee ndio wanaishii Kwa estates. Alafu PRIVATE ESTATES and CITIES ndio nini? Au ulikua unataka zikue owned na government?I don't know what you are trying to say.
Sisi ni Watanzania tunajenga kote unakoona.
Maisha hayafanani.
Ila Nairobi, matajiri wamewawekea FENCE.
TAJIRI ni TAJIRI na MASIKINI ni MASIKINI.
Ndio maana mitaa ya Matajiri Nairobi ni super rich, masikini hasogei kwasababu hiyo mitaa mingi ni PRIVATE OWNED ESTATES nad CITIES.
Sisis hatuna mitaa inayomilikiwa na kampuni au MTU.
Lala hapo Kawangare, kesho uka ride Nduthi upate kilo ya ungaKuishi Kwa estate Nairobi sio big deal. Naona mumezoea poverty huko Dar is a slum hadi unadhani the super rich pekee ndio wanaishii Kwa estates. Alafu PRIVATE ESTATES and CITIES ndio nini? Au ulikua unataka zikue owned na government?
Hii maneno yote punguza bratheHauwez tumia labda illegally, ili tuweze kuseme unaweza tumia ilitakiwa utuoneshe ni wap price quotes za bidhaa mbalimbali zimewekwa kwa ksh. Tanzania wafanyabiashara wengi hupokea hela hata ikiwa ya Burundi maana wanajua wanaweza kuzichange ila huwez Kuta price tags zikiwa kwa hizo currency husika.
Na kinachomaanishwa hapo kulikuwa Kuna tendency ya kuquote au baadhi ya makampuni kulazimisha kulipwa kwa dolla kama nice one kwa wale exporters hicho ndo kilichokataliwa. Wewe hukuwa na hela ila bei ya bidhaa ilikuwa kwa tsh ukalazimishwa kununua hiyo kitu kwa rate ya yah ila ukalipa ksh .
Yaan mfano t- shirt inauzwa tsh 20000 ukawa huna tsh akakuambia utanilipa kwa rate ya 18tsh/ksh ambayo ni sawa na 1,110.ksh then yeye anaenda kidia pale akamlipia mzigo tu ambaye kaagiza mzigo toka Nairobi kwa rate ya 21 sawa na 23,000tsh wewe ukamuona mjinga kumbe kashakupiga 3000tsh na hiyo ndo biasharaa Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣.
Hata Mimi Leo ukija unataka letsay unga una ksh nakubali fasta maana najua hutakuwa na alternative kwa bei ambayo nitapanga Nini matokeo yake natengeneza faida mara mbili.
Quacks like you aren’t allowed to discuss anything medicine with other people. Chemistry is a broad term so ukisema chemistry is the backbone of pharmacology what do you mean? There are so many branches of Chemistry that does not relate with pharmacology, example being inorganic Chemistry.Pharmacy haiishii tu kwenye pharmacokinetics na pharmacodynamics.
Kabla hujafikia hizo mbili itabidi usome pharmacology kwanza.
Na kwenye pharmacology ndipo mzizi wa pharmacy ambao Chemistry ulipo.
Chemistry ni mzizi wa pharmacy.
Wacha ujuaji mwingi.
250km on a single full charge.Hvi izi basi chaji yake inadumu kwa umbali wa kiasi gani
Just name what state they are and we can evaluate the state of the stateThese are some few cases that don't represent the real situation of the rural America.
Even rural Tanzania has some of these exceptions.
Kisumu is booming before our eyes. Very impressive! Soon tutafungua Dar vs Kisumu …😃😃Kisumu City Anderson & Lumumba Housing project. 15 floors Each block
View attachment 3326513View attachment 3326514
Alafu tukiwaambia masomo yenu ni duni mnakana. Tukiwaambia mkipata opportunity mnakuja kusomea Kenya mnakataaNimekaa Kenya kwa miaka 8 primary nimesomea huko kwahiyo hakuna utachonidanganya