Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeumwa hadi umeenda kutafuta taarifa ya 5 years ago. 🤣🤣 Sasa si heri hao ni wanaanchi wa kawaida, nyinyi president wenu na opposition leader si waliletwa Kenya kufanyiwa matibabu.
Saivi mmekua maombaomba to individuals sio tena nationally 😂😂😂

GqP95fsXAAAc6qz.jpeg
 
Super rich hawaishi estate, wanamiliki estates wakundustan washamba kweli, kwenu kukaa kwenye nyumba yenye tiles na aluminum ni super lavishly lifestyle 😂😂😂 kama mnavyosemaga watanzania wanaoishi kwenye nyumba za aina hiyo ni Middle income earners 😂😂

Hizi ni apartments lakini hata super rich wenu hawawezi afford

View: https://www.instagram.com/reel/DJHQXGZN3FV/?igsh=YnZrdTkyNnl5MWIw

Hii nyumba moja imekushtua. 🤣🤣🤣
 
Inabadilisha nini wakati watu wenu wamejaa kwenye hospitali za Tanzania.

President gani huyo! Au siku hizi Mzena hospital ipo Kunya na hatujui! 😂😂😂
Sasa due to security reasons ulitegemea opposition leader aende wapi, halafu wala hamkufanya matibabu yoyote zaidi ya huduma ya kwanza.
Mikunya inapenda kuforce issues kweli 😂😂 waangalie hii interview yote mtoto wa Magu anasema babake alifia Dar na kuanzia anaugua mpaka anafariki alikua Dar ila wakundustan wanavyoforce issues 😂😂


View: https://youtu.be/SsJYpX5saMM?si=j32y-PCLFgIReJNH
 
Huu ushamba utatoka mpaka lini? Currency is just a Unit of Measure.
Mfano kwenye metric measurements kuna mtu atapendelea kutumia Meter lakini mwingine Kilometer
So 1KM = 1,000M 🤣 🤣 🤣 🤣
Nikutumie thao ya Kenya ulishe Kijiji yenu nzima. 🤣🤣🤣
 
Huu uzi wamebaki wapumbavu tu. Mwenye akili awezi kuwa kwenye huu uzi kwa sasa.
 
Vitu duni, low standards, poor quality. Vitu vya kimaskini.
Elimubya biashara hamna, ukiwa na lower currency in comparison with your neighbours inapelekea bei ya bidhaa zenu inakuwa chini hivyo kuvutia wanunuzi wengi kutoka nchi nyingine.
MFano tu nikija na dollar na kuchange kwenda tzs nilienda sokoni Nina uhakika wa kupata mzigo mkubwa kwa gharama ndogo tu
 
Sasa nyinyi ambao munaita nyumba self contained eti ni Master munajua nini kuhusu standards. Sasa Ile siku mtajua ensuite si watu watakua wameenda Kwa dunia ingine. 🤣🤣 Washamba with low standards nyinyi, hata dawa si hua munaprefer za Kenya expensive kwasababu ni better than hizo zenu low standards.
Sikiliza hii yaan tuwape msaada wa sawa halafu tuprefer kununua kwenu. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom