Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakundustan hamjui tu hela yenu ni takataka, mnajisifia kuwa few zeros on your notes wakati bado value for money ni shitty, angalia wakundustan wenzenu walioona difference baada ya kucross border na kufanya comparison, hii kiuchumi maana yake wanaadmit currency yetu ina purchasing power kubwa kuliko yenu financially View attachment 3326790

Hua munasema GDP ya Kenya ni makaratasi, ila Mkenya akitembelea nchi zote za East Africa anaweza nunua vitu nyingi sana na elfu moja ya Kenya pekee. 🤣🤣 Napenda sana vile hua mnaji contradict.
 
Hua munasema GDP ya Kenya ni makaratasi, ila Mkenya akitembelea nchi zote za East Africa anaweza nunua vitu nyingi sana na elfu moja ya Kenya pekee. 🤣🤣 Napenda sana vile hua mnaji contradict.
Compare and contrast
Runda kwa matajiri Kenya

View: https://youtu.be/qK1RW5MkF1Q?si=m1v6uxZaPPCGv6O_
Versus
Kibada kwa wakulima wa matikiti

View: https://youtu.be/AQZsxnOR5x8?si=C6JlLwuRylSKSz2
Ununio

View: https://youtu.be/WyMuFTH5OAw?si=NS8v2ipX29WmpNwg
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Haujui kitu chochote basi nenda chinana hiyo 1000 ukanunue gari kama unaweza
Una reason kama fala. 😄 Pesa ya Kenya na Japan zinaenda kutoshana exchange rate. Kupata elfu kumi za Kenya in Japan compared to Kenya ni rahisi sana ju wakona economy kubwa. Kwa hivyo mjapani akija Kenya na elfu zake kumi ataona vitu Kenya ni cheap sana ju kupata elfu kumi kwake ni rahisi. Sasa mkenya akikuja bongoslum na elfu moja ananunua vitu Kwa urahisi ju kupata elfu moja kwake ni rahisi.
 
Quality ya maisha ya Tanzania ni bora kuliko Kenya. Hilo liko wazi.

Cheap quality products.

  • Umeme
  • Maji
  • Chakula
  • Fuel
  • Rent
  • Public transport
  • Clothings
Quality aje na tajiri anaishi kama maskini. 😄
20250507_115755.jpg
 
Runda ni mtaa unaomilikwa na watu wachache tena Wazungu , chini ya kampuni moja.

Yaani mtaa mmoja unamilikiwa na kampuni moja.

Tanzania hakuna huu ujinga
Haya umetoa wapi mtanganyika? 😂😂😂😂
Can you prove these claims?
 
Of course, bado yuanboresha barabara za mitaa.

Na sasa kuna mvua hali kama hiyo mi kawaida.

Huo ni mtaa wa umma siyo mali ya kampuni
Mtaa wa matariji hiyo eti? 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom