NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,633
Kundustan walitaka kufanya hivi na Budget ya Githeri. nini J/K😂😂😂😂Kenyans' obbsession with high rise buildings.View attachment 3323642
Kundustan walitaka kufanya hivi na Budget ya Githeri. nini J/K😂😂😂😂Kenyans' obbsession with high rise buildings.View attachment 3323642
Wanataka kuwa wazungu wakati Jaluo na Gikuyu
Tanzania hakuna billboards zinazosema usinye hovyo 🤣🤣🤣Kwani unaogopa kuleta link ya hio article. 😄 Unaogopa nini, kama hizo choo zingekua common, ungekua ushatujazia evidence hapa.
😂😂😂Tanzania hakuna billboards zinazosema usinye hovyo 🤣🤣🤣
Kwahio mna viwanja maalumu kwa SBK sio akina mark Marcus hapo wanaweza kuja hapo eti! Kuna shida sehemu nyie wakenya.Kuna sports huwezi fanya kwa LDC countries like bongoslum due to lack of infrastructure and poverty. 🤣 🤣 🤣
![]()
![]()
![]()
Yes tunazo circuit and that bike racing sport is not called SBK. SBK is just a sponsor just like Fly Emirates.Kwahio mna viwanja maalumu kwa SBK sio akina mark Marcus hapo wanaweza kuja hapo eti! Kuna shida sehemu nyie wakenya.
Gor Mahia Fans arriving in Kisii from Nairobi. Alafu utaskia wachawi wakisema wakenya hawapendi ball Kumbe ni wao hawapendi ball😂
View: https://www.facebook.com/share/v/1EjuFiEFQV/
Size of stadium haiezikubali collection of more than 2M. Alafu Ebu tuambie ni timu gani hapo Vumbistan can collect more than 1M in gate fee every home game? Hata Simba na Yanga can’t do that week in week out.Tunangoja gate fee ikizidi Ksh 2mln dunia itapinduka!
Lissu ni mzima, where are 70+ protestors shot dead?Yes, hawawezi fanyiwa kama Lissu. You can't lecture us na hata hamjui opposition leader wenu ako wapi.
Gor Mahia Fans arriving in Kisii from Nairobi. Alafu utaskia wachawi wakisema wakenya hawapendi ball Kumbe ni wao hawapendi ball😂
View: https://www.facebook.com/share/v/1EjuFiEFQV/
Hii barabara ya Usagara hadi mjini kati, magufuli aliahidi kuipanua ili iwe na four lanes lakini mpaka sasa kwa mama hatujui nini mpango wake. Una taarifa yoyote mkuu.?Wakali wa hizi kazi EA.
View attachment 3324100