ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Simba na Yanga wanakusanya zaidi ya hiyo kila match!Size of stadium haiezikubali collection of more than 2M. Alafu Ebu tuambie ni timu gani hapo Vumbistan can collect more than 1M in gate fee every home game? Hata Simba na Yanga can’t do that week in week out.
Quality za namna hii Huwezi kuzipata Ukunyani mpaka mwisho wa Dunia!Itawachukua miongo mingapi wakenya kuwa na kitu kama hiki?
View attachment 3324360
View attachment 3324361
Size of stadium haiezikubali collection of more than 2M. Alafu Ebu tuambie ni timu gani hapo Vumbistan can collect more than 1M in gate fee every home game? Hata Simba na Yanga can’t do that week in week out.
Karne 🤣🤣🤣Itawachukua miongo mingapi wakenya kuwa na kitu kama hiki?
View attachment 3324360
View attachment 3324361
Ukiona huu upuuzi ujue timu moja ina mashabiki warusha mawe kama akina Teargass😁
View: https://m.youtube.com/watch?v=9g-4ijKjfoU&pp=0gcJCYUJAYcqIYzv
Because Nairobi is a global city. We are building other stadiums outside Nairobi, pole sana kama huna habari. Plus Kenyan cities besides Nairobi are more modern than hizo vijiji munaita cities.Everything in Nairobi.
Kenya is Nairobi and Nairobi is Kenya.
Bhana mzee wa govi, hii si hata discussion hizo stadiums unazo dream mjenge miji zingine sisi tumeshajenga tayari. Na miji zetu they are more modern than yours.Because Nairobi is a global city. We are building other stadiums outside Nairobi, pole sana kama huna habari. Plus Kenyan cities besides Nairobi are more modern than hizo vijiji munaita cities.
Mkuu pitia hii comments. 🤣🤣🤣👇🏾Wewe mbwa wa majigambo Teargass hebu njoo uone huku!
What is modern in Mbeya? All our cities huwezi kosa international, zote zikona modern lifestyle kama tu Nairobi.Bhana mzee wa govi, hii si hata discussion hizo stadiums unazo dream mjenge miji zingine sisi tumeshajenga tayari. Na miji zetu they are more modern than yours.
People are moving to electric motorcycles. Of course I don't expect you to understand that.Na IMF inasema GDP yao inakua
Unakimbilia kuitaja mbeya.? 🤣🤣 kwani sisi hivyo viwanja tumevijenga mbeya.?What is modern in Mbeya? All our cities huwezi kosa international, zote zikona modern lifestyle kama tu Nairobi.