NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,004
- 19,171
instanbul this is the big nose guy I told you about whose channel is dedicated to ruining Kenya's image.
Hivyo vyoo huwa vina flush, Kuna kuwa na tank na chain unaivuta kwa chini ili uflush, hiyo picha imekatwa halfway kuwezi kuiona chain ya kuflush.Choo nje, hii yenu ni modern latrine. 🤣🤣 90% ya nyumba za Dar is a slum have no flushing system. Munajua kuflush choo kweli?
View attachment 3320548
Majuzi niliongea na ndugu yangu mmoja yeye anafanya biashara zake kwenye nchi zote zinazotuzunguka, aliniambia sasa hivi, nchi hizi zinatuogopa sana.wanapenda superficial projects ili iwa potray positively lakini wapi. siku zote nasema humu unlike Kenya Tanania is laying down foundation of a very strong and resilient economy tukianza kuingia kwenye exponential curve watajuta kuwa majirani zetu.
Wachina kweli walikuwa wanafanya biashara na wenyeji wa pwani ya Afrika mashariki miaka zaidi ya 500 iliyopita. Kilwa kuna ushahidi wa sarafu za China.Ni kiongozi wa kampuni kubwa Vietnam maoni yake yanareflect walivyowachukulia nyinyi kama wakenya ni mara ya kwanza maoni kama hayo yanatolewa na kiongozi wa kampuni kubwa Vietnam , maneno kama hayo huwez yasikia yanatolewa kwa kiongozi wa Tanzania hasa baada ya mkutano tu.
Baada ya kutoka Vietnam rais wenu alivyo kilaza amekuja kuropoka eti Kenya Ina uhusiano na china wa miaka 600 wakati nchi kama Kenya Haina hata miaka 100 sasa kwanini tusiseme nyinyi ni mazumbukuku mnaoabisha Africa
Huyo ndugu wako ni Mtanzania ama Mkenya?Majuzi niliongea na ndugu yangu mmoja yeye anafanya biashara zake kwenye nchi zote zinazotuzunguka, aliniambia sasa hivi, nchi hizi zinatuogopa sana.
Ukiwa na nyumba kama hii Nairobi wewe ni tajiriTypical middle class house in Dar is a slum ni kama the pictures below. Choo iko ndani na ni ya shimo. 🤣🤣 Maskini choo ni nje, nyumba imechakaa haijapakwa rangi. Tajiri yuko Masaki Kwa mansion own compound.
View attachment 3320446
View attachment 3320448
Wewe ni pumbavu kama mlivyo wakenya wengi, watanzania wengi hatupendelei vyoo vya kukaa. Ndiyo mana wakenya wengi wenye vipesa kidogo wana vinyama vinaning'inia kwenye miku.ndu yao, na mpaka sasa hawajajua tatizo nn.Nishakuambia nyumba zenu mingi za lower middle class ina choo ya kusquat while in Nairobi choo ni ya kukalia.
Hata hajui challenges za choo cha kukaa cz huwa anaona kwenye TV tu, wakenya wengi hawana exposure, hawa wahumu ilipaswa watulipe, tumewapa elimu kubwa sn kuanzia ya darasani mpk ya kijamii.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 choo ya kukaa ni standard of living huko kenya. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Nyie ni jamii ya watu ambao mnatokea porini ndio tunabishananao humu. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Again, wewe ni pumbavu kabisa aisee. Inaonesha unatoka familia ya kifukara sn wallahi.Mbona matajiri wenu hawatumii hizo vyoo vya kusquat kama sio quality of life.
Unakuja kununua chupi za mtumba za kuuza?Juu ya hii story, nafika hapo Dar kesho nikuoneshe vitu ambavyo unaona miujiza kwako kwangu ni kitu chenye naweza amua nifanye na nifanye hiyo hiyo siku. Wacha nimalizemalize tushughuli leo kesho unione. Wewe endelea na ignorance yako.