babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,590
- 36,394
Uhuru Stadium.
Wanaufunga viti au wanauongeza .?Uhuru Stadium.
View attachment 3321152
Kwani Governor Mutua was the contractor?…🤣🤣🤣Unaya ya installing low quality products, Stadium hata haijamaliza a week and running inakaa ni Kama ilimwa😂😂🤣
View attachment 3321143
View attachment 3321146
****** wa mbwa wewe huoni kama hayo ni maji ya mvua.? 🤣🤣🤣🤣🤣 unataka pakuponea.?Unaya ya installing low quality products, Stadium hata haijamaliza a week and running inakaa ni Kama ilimwa😂😂🤣
View attachment 3321143
View attachment 3321146
Uhuru Stadium.
View attachment 3321152
Hii inakuuma eeh.?? 🤣🤣🤣
Mombasa tu … 😄Dasilinga. 👇🏾View attachment 3321089
In your dreams. 🤣🤣🤣 mombasa level yake ni ArushaMombasa tu … 😄
Mtu anauza uwanja hapo govinda wewe.KES 4M for that shack? Alafu bado wanasema kwao nyumba ni cheap.🤣🤣
Huyu mzee ametoa muhstasari wa jinsi Wakenya walivyo, big hat no cattle.Kila mtu anajua wakundustan kutoka Executive ( Rais na team yake ) Mpaka walamba tope. Ni midomo mirefu tu ndio wanayo.
View attachment 3320444
Hivyo vyoo huwa vina flush, Kuna kuwa na tank na chain unaivuta kwa chini ili uflush, hiyo picha imekatwa halfway kuwezi kuiona chain ya kuflush.Choo nje, hii yenu ni modern latrine. 🤣🤣 90% ya nyumba za Dar is a slum have no flushing system. Munajua kuflush choo kweli?
View attachment 3320548
Majuzi niliongea na ndugu yangu mmoja yeye anafanya biashara zake kwenye nchi zote zinazotuzunguka, aliniambia sasa hivi, nchi hizi zinatuogopa sana.wanapenda superficial projects ili iwa potray positively lakini wapi. siku zote nasema humu unlike Kenya Tanania is laying down foundation of a very strong and resilient economy tukianza kuingia kwenye exponential curve watajuta kuwa majirani zetu.
Wachina kweli walikuwa wanafanya biashara na wenyeji wa pwani ya Afrika mashariki miaka zaidi ya 500 iliyopita. Kilwa kuna ushahidi wa sarafu za China.Ni kiongozi wa kampuni kubwa Vietnam maoni yake yanareflect walivyowachukulia nyinyi kama wakenya ni mara ya kwanza maoni kama hayo yanatolewa na kiongozi wa kampuni kubwa Vietnam , maneno kama hayo huwez yasikia yanatolewa kwa kiongozi wa Tanzania hasa baada ya mkutano tu.
Baada ya kutoka Vietnam rais wenu alivyo kilaza amekuja kuropoka eti Kenya Ina uhusiano na china wa miaka 600 wakati nchi kama Kenya Haina hata miaka 100 sasa kwanini tusiseme nyinyi ni mazumbukuku mnaoabisha Africa