Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Ikiwa unatueleza kuwa haya ni maisha ya middle class heb tuonyeshe basi maisha ya maskini hapa Dar yanavyofanana. 🤣🤣🤣🤣Slum house for sale in Tandale, Dar is a slum. @ksh 3 million. 🤣 🤣 🤣 Choo nje, maji nje, nyumba haina vioo Kwa madirisha ju unaweza kufa na joto, no internet, stima pia inakaa ya wizi ju hio ni connection wire gani sasa. Hii ndio maisha ya middle class in bongoslum. Munaishi primitive life in 2025 no wonder hua mko obsessed na slums kumbe hio ndio maisha mumezoea.
View attachment 3320432