concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Uzuri tumewazoea kwa kushobokea vitu vya watu then Kaa kimyaa usiibe picha za watu na kuclaim ni zako.🤣🤣🤣🤣Sawa, imepigwa kigoma.
Uzuri tumewazoea kwa kushobokea vitu vya watu then Kaa kimyaa usiibe picha za watu na kuclaim ni zako.🤣🤣🤣🤣Sawa, imepigwa kigoma.
Vietnam lini ikaitukana Kenya? Mbona naona kama una shida ya kuelewa mambo hivi? Ama ni lugha ya Kiingereza ndio ngumu?Tanzania hawana kawaida ya kuiga vitu kutoka west na ndo maana tumeendelea kumantain culture yetu ya masoko na tuna masoko na stendi nzuri ambazo zinahudumia watu wa rika zote na nzuri kuliko zote east Africa. Tanzania Iko busy kwa maendeleo ya Kila mtu sio Kenya ambayo inataka kujiweka katika status ambayo haipo mwishowe inaambulia kutukanwa na mataifa mengine kama Vietnam .
Tuna masoko na stendi Bora kuliko Kenya nzima . Dhaman ya ujenzi wa stend Moja unazid dhaman ya masoko yote yaliyopo kenya
Wapandishe mbuga za kaskazini tuu maana zipo congested all year around alafu za kusini washushe gharama maana ukiangali tuna eneo kubwa la mbuga kusini kuliko kaskazini ilhali watalii wotee wamerundikana kaskaziniKupandisha viingilio si Kitu sahihi! Africa ina Nationalparks chungu nzima na kama zile Za kusini bado hazijulikani! Ushauri wako si sawa!
Sio imepigwa kwa kinyeo chako?Picha imepigwa Amboseli.
Vietnam lini ikaitukana Kenya? Mbona naona kama una shida ya kuelewa mambo hivi? Ama ni lugha ya Kiingereza ndio ngumu?
Kama kawaida ya kurukia vitu vya watu eti amboseli . Hata ingekuwa imepigwa wapi bado Kilimanjaro ni mali ya Tanzania hawa jamaa wanapenda kujipendekezaSio imepigwa kwa kinyeo chako?
Technically unamaanisha u-punish investment za watu kisa Nationalparks na Game Reserves zingine hazitembelewi! Huo ndo ujinga nashindwa kuelewa utatoka lini kwenye vichwa vya Waranzania!Gharama za Safari, Safari Jeep, Hotels, Visa na Chakula na baadhi ya amenities ni kubwa.
Ukipandisha viingilio, utalii utakuwa gharama kubwa sana, watu watatafuta altenatives.
Ujue kuna altenatives kama Kenya, Naminia, South Africa.
Yale magari ya Safari (Safari Jeep, ni $250 per day)
Kiingilio, $60 (Non East African)
Hapo bado hotel na kama unataka kupanda Ballon.
Stating the truth ni kushobokea?Uzuri tumewazoea kwa kushobokea vitu vya watu then Kaa kimyaa usiibe picha za watu na kuclaim ni zako.🤣🤣🤣🤣
Punguza hasira mzee.Sio imepigwa kwa kinyeo chako?
Kiingereza ni lugha ya watu wasiojitambua kama wewe , ungesema labda Nina shida ya kuelewa kiswahili ambayo ni my natural African language ningekuelewaVietnam lini ikaitukana Kenya? Mbona naona kama una shida ya kuelewa mambo hivi? Ama ni lugha ya Kiingereza ndio ngumu?
Ukweli upi sasa hapo wakati imeshindwa kutoa evidence ya kupigwa amboselStating the truth ni kushobokea?
Endeleeni kupika data!Usisahau GDP waliita uchumi wa makaratasi until last year when their GDP grew and ours shrunk then they started bragging about GDP. This year ours is poised to grow more than theirs wamerudi ile ya GDP ni uchumi wa makaratasi.
Alafu utawaskia wakisema twende ground yet most of them have never even been to Kenya hadi unashangaa ni ground ipi wanaongelea. 🤣 🤣
1. Vietnam Gas is a company, not a country. When you say Vietnam wametutusi you mean the country and that should be the official government.Hapa kwa sababu wakenya ni wajinga hamuwez jua kwamba mlitukanwa
Vietnam Gas President Doanh Chau has taken a rather bold swipe at African leadership - and especially Kenya, accusing them of lacking long-term vision and a serious execution culture that continues to stall the continent’s development.
Speaking after meetings with President William Ruto and Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi in Nairobi, Chau painted a grim picture of Kenya’s investment climate despite the government’s ambitious rhetoric around infrastructure and economic transformation.
“I met with Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi and President William Ruto in Nairobi. They spoke with energy about Kenya’s future—investment, infrastructure, public housing,” he wrote on his LinkedIn page.
Sina huo muda. Si nimekwambia imepigwa Kigoma?Ukweli upi sasa hapo wakati imeshindwa kutoa evidence ya kupigwa ambosel
Tanzania hawana kawaida ya kuiga vitu kutoka west na ndo maana tumeendelea kumantain culture yetu ya masoko na tuna masoko na stendi nzuri ambazo zinahudumia watu wa rika zote na nzuri kuliko zote east Africa. Tanzania Iko busy kwa maendeleo ya Kila mtu sio Kenya ambayo inataka kujiweka katika status ambayo haipo mwishowe inaambulia kutukanwa na mataifa mengine kama Vietnam .
Tuna masoko na stendi Bora kuliko Kenya nzima . Dhaman ya ujenzi wa stend Moja unazid dhaman ya masoko yote yaliyopo kenya
Ni kiongozi wa kampuni kubwa Vietnam maoni yake yanareflect walivyowachukulia nyinyi kama wakenya ni mara ya kwanza maoni kama hayo yanatolewa na kiongozi wa kampuni kubwa Vietnam , maneno kama hayo huwez yasikia yanatolewa kwa kiongozi wa Tanzania hasa baada ya mkutano tu.1. Vietnam Gas is a company, not a country. When you say Vietnam wametutusi you mean the country and that should be the official government.
2. The CEO took a swipe at African leadership. He just used Kenya as an example and we agree with him. Other Africans agree with him. It's only Bongolalas who worship their politicians that will disalign themselves from it and act as if they're better.
Umaskini ila hatufi njaa ila nyinyi sasaSio culture inawazuia bali ni umaskini.
Mimi Sina shida na Kiswahili ama lugha yoyote. Ukiniongelesha Kiswahili nakujibu, ukiniongelesha Kiingereza nakujibu. Ukiniongelesha lugha yangu ya mama nakujibu.Kiingereza ni lugha ya watu wasiojitambua kama wewe , ungesema labda Nina shida ya kuelewa kiswahili ambayo ni my natural African language ningekuelewa
Haikuwa African leadership kwa sababu maoni yametolewa hasa baada ya mkutano wenu kujifanya mnaspeak big1. Vietnam Gas is a company, not a country. When you say Vietnam wametutusi you mean the country and that should be the official government.
2. The CEO took a swipe at African leadership. He just used Kenya as an example and we agree with him. Other Africans agree with him. It's only Bongolalas who worship their politicians that will disalign themselves from it and act as if they're better.
Soma tena nilichoandika utaelewa. Ama niandike kwa Kiswahili maana ushaasema Kiingereza ni lugha ya watu?😂Ni kiongozi wa kampuni kubwa Vietnam maoni yake yanareflect walivyowachukulia nyinyi kama wakenya ni mara ya kwanza maoni kama hayo yanatolewa na kiongozi wa kampuni kubwa Vietnam , maneno kama hayo huwez yasikia yanatolewa kwa kiongozi wa Tanzania hasa baada ya mkutano tu.
Baada ya kutoka Vietnam rais wenu alivyo kilaza amekuja kuropoka eti Kenya Ina uhusiano na china wa miaka 600 wakati nchi kama Kenya Haina hata miaka 100 sasa kwanini tusiseme nyinyi ni mazumbukuku mnaoabisha Africa