NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,749
- 49,637
Ndogo, ni size yake ya kipekee, ila level tatu. Imeleta competition Kwa Mkuki house na Quality center inaweza tendwa vibaya kama haian kitu special cha kufuata kule. Hasa wa downtown , Upanga, na Kariakoo, kama movie mfano wataishia wote pale AURA. City mall ndio kabisaa anaweza pia kufanya vitu vingine Unique.Ulivyoiona inafanana na mall gani apo town kwa ukubwa. ..
nimependa iko Mjn