ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
kenya airways haijawah kununua ndege cash instead ndege zote ni za kulease 😀😀😀😀😀
atleast tanzania imeweza kununua ndege 8 cash and remb air tanzania is 100% owned by gvt of tanzania
kenya airways haijawah kununua ndege cash instead ndege zote ni za kulease 😀😀😀😀😀
Miaka yote hiyo wanafanya biashara lakini bado KQ haiwezi kununua hata dreamliner moja?, hivi hawa Kenya wana matatizo gani?,
na one of the main factor ya ku run loss leo miaka 5 sababu yake kubwa ni ku lease ndege alaf leo uhuru kenyata anaziforce bank 10 za kenya zinunue share za kq wakat kampuni inaendesha hasara nani atakubali???Miaka yote hiyo wanafanya biashara lakini bado KQ haiwezi kununua hata dreamliner moja?, hivi hawa Kenya wana matatizo gani?,
Hata baada ya kupatiwa Debt relief hawajajikwamua bado? Sasa hawa masikini watalipa hili deni vipi unless wapatiane resources ziwe plundered na wazungu...I now get to see the reasons for companies such as Acacia get away with anything and also kushikwa kwa ndege aina ya bombardier huko Canada.
National Carrier, Kenya Airways on Saturday received its first of the nine Dreamliner aircraft it has ordered.nioneshe statement kua kq imenunua ndege cash, ukitumia neno acquire hata ku lease pia ni ku acquire
usitake tuaibishane bure😀😀😀😀😀

kaongeza dream liner zitakua mbiliMagufuli ameshalipia ndege 6 kwa mpigo, cash money, karibia $800M wakati shirika halijaanza kazi, maana yake ni kwamba ATCL inaanzana ndege zake haina mzigo wa kulipa interest, inaanza na Dreamliner moja, KQ miaka yote hiyo haina Dreamliner hata moja iliyonunua kwa pesa yake..duuh..wazee wa misifa ya kijinga.
Kiukweli Kenya hakuna sector inayofanya vizuri kwa sasa, hiyo ni nchi ya ajabu sana, very poor in planning. Wakati shirika linaporomoka na linarudisha baadhi ya ndege walizokodi, wao ndiyo wanafungua njia ambayo is much more competitive kwenda USA, hawajali biashara yenye faida, muhimu kwao ni sifa za kijinga kama kawaida yao..stupidity is very bad disease.na one of the main factor ya ku run loss leo miaka 5 sababu yake kubwa ni ku lease ndege alaf leo uhuru kenyata anaziforce bank 10 za kenya zinunue share za kq wakat kampuni inaendesha hasara nani atakubali???
wapi neno limeandikwa kenya airways imenunua ndege cash 😀😀😀😀😀National Carrier, Kenya Airways on Saturday received its first of the nine Dreamliner aircraft it has ordered.
This ends a four-year delay in the delivery of the aircraft.
The modern aircraft touched down at the Jomo Kenyatta International Airport at 11 a.m. after a 16-hour direct flight from its manufacturing base in Seattle, USA.
The Dreamliner is 56.7 metres long, tail height 16.9 metres and wing span 60.1 metres and a passenger capacity of about 250. The air plane costs approximately Sh11 billion and flies at 43,000 feet for between 7,600 – 8,000 nautical miles without stopping.
Here, at last! High-flying KQ acquires Dreamliner
baada ya kupokea ndege 6 out of 9, ikaamua ku-lease the remaining 3 kwani kampuni iliingia hasara kipindi hicho
Plane leasing deals leave Kenya Airways with Sh4 billion lossNational Carrier, Kenya Airways on Saturday received its first of the nine Dreamliner aircraft it has ordered.
This ends a four-year delay in the delivery of the aircraft.
The modern aircraft touched down at the Jomo Kenyatta International Airport at 11 a.m. after a 16-hour direct flight from its manufacturing base in Seattle, USA.
The Dreamliner is 56.7 metres long, tail height 16.9 metres and wing span 60.1 metres and a passenger capacity of about 250. The air plane costs approximately Sh11 billion and flies at 43,000 feet for between 7,600 – 8,000 nautical miles without stopping.
Here, at last! High-flying KQ acquires Dreamliner
wapi statement inasema kq imenunue ndege cash elewa point yangu, neno acquire hata kulease ni ku acquire so leta statement kua kenya airways imenunua ndege cash nasubiria😀😀😀😀😀😀😀baada ya kupokea ndege 6 out of 9, ikaamua ku-lease the remaining 3 kwani kampuni iliingia hasara kipindi hicho
What do you understand by the term 'Acquire' ???wapi neno limeandikwa kenya airways imenunua ndege cash 😀😀😀😀😀
ctaki blah blah straight forward
na hii company ndio wenye dreamliner ambazo kenya mulikodisha😀😀😀😀baada ya kupokea ndege 6 out of 9, ikaamua ku-lease the remaining 3 kwani kampuni iliingia hasara kipindi hicho
hahahahah😀😀😀😀 kisu kimegota kwenye mfupaWhat do you understand by the term 'Acquire' ???
Check meaning before you embarass your st00pid ego
na bado wanampamgo wakuzirudisha ndege nyingi tu kwa wenyewe ikiwa wanakosa pesa yakuwalipa engineers na marubani hapo bado kuna kampuni??Kiukweli Kenya hakuna sector inayofanya vizuri kwa sasa, hiyo ni nchi ya ajabu sana, very poor in planning. Wakati shirika linaporomoka na linarudisha baadhi ya ndege walizokodi, wao ndiyo wanafungua njia ambayo is much more competitive kwenda USA, hawajali biashara yenye faida, muhimu kwao ni sifa za kijinga kama kawaida yao..stupidity is very bad disease.
Kenya Airways signs leaseback deal for DreamlinersNational Carrier, Kenya Airways on Saturday received its first of the nine Dreamliner aircraft it has ordered.
This ends a four-year delay in the delivery of the aircraft.
The modern aircraft touched down at the Jomo Kenyatta International Airport at 11 a.m. after a 16-hour direct flight from its manufacturing base in Seattle, USA.
The Dreamliner is 56.7 metres long, tail height 16.9 metres and wing span 60.1 metres and a passenger capacity of about 250. The air plane costs approximately Sh11 billion and flies at 43,000 feet for between 7,600 – 8,000 nautical miles without stopping.
Here, at last! High-flying KQ acquires Dreamliner
am not sure if at all you read these links and understand the content in them before dishing them out