Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
okay your right bro😀😀😀Acha povu kijana.. Kenya hamna Pesa huko.. Njaa tupuuuu.. Watu wanakufa na njaa huko.. Wamebakia kunywa pombe za kienyeji.. Nchi inageuka jangwaa hiyo hadi mnakuja kulisha mifugo yenu Tz Looh.. Hamna nchi ya kikoloni km Kenya.. Asilimia kubwa ya utajiri inashikiliwa na kabila mojaa.. Come see the difference here in Tz..