ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
ww kichwani umejaza chawa tu😀😀😀😀am not sure if at all you read these links and understand the content in them before dishing them out
ww kichwani umejaza chawa tu😀😀😀😀am not sure if at all you read these links and understand the content in them before dishing them out
wewe usiingie kichwa kichwa. soma link ya kwanza kabisa niliyotuma ya The Herald. KQ ili order ndege 9 tangu 2011....Kenya Airways signs leaseback deal for Dreamliners
Soma vizuri hii article uelewe, hizo ndege KQ imeziagiza toka AWAS, sio toka kwa manufacturer, Magufuli aliambiwa asubiri miaka miwili ili Dreamliner moja iwe imekamilika kutengenezwa kuanzia siku aliyofanya malipo, ninyi mlizipokea toka kwa mwenye ndege ambaye ni AWAS, meneja wa KQ amesema shirika halina uwezo wa kununua hata Dreamliner moja..hii.ni.aibu tupu kwa wapenda sifa kama Kenya.
Bombardier Vipi?niletee link kua kq ilishawah kununua ndege cash nasubiria😀😀😀😀😀😀
Soma article vizuri hadi mwisho usikie meneja wa KQ anasema KQ haina uwezo wa kununua hata dreamliner moja kwa hiyo inategemea AWAS, kipi usichokielewa?, Kwa taarifa yako, hata Ethiopia Airways ambayo inapata faida, lakini hawana zaidi ya Dreamliner tatu ambazo wamenunua kwa pesa yao, Kenya haina uwezo hata kununua Bomberdier Q400.am not sure if at all you read these links and understand the content in them before dishing them out
am not sure if at all you read these links and understand the content in them before dishing them out
tuansubiri Cs 300 mbiliBombardier Vipi?
Magufuli ametumia kama $1B kununua ndege zetu hizo toka kwa manufacturers, tumeshalipa na deliveries itakamilika August 2018 na Dreamliners 2019.Bombardier Vipi?
hawa achana nao kinachowaumiza nikuona tanzania ya sasa inafanya vizuri katika kila sector wakat wao sector zao zote zimekufa imebaki ya bandari wamebakia kumlilia mganda 😀😀😀😀Magufuli ametumia kama $1B kununua ndege zetu hizo toka kwa manufacturers, tumeshalipa na deliveries itakamilika August 2018 na Dreamliners 2019.
But it is IMF which says your economy is very weak can't pay back..where and since when a poor person can judge him/ her self if can or can't pay?, it is the person with money in this case, it is IMF.Tell them! Yet some loose characters here are busy yapping how Kenya is over burdened with Chinese loans,mara IMF issues red alert...!
Kenya borrows what it can pay back + interest without much ado! We are resilient.
niletee link kua kq ilishawah kununua ndege cash nasubiria😀😀😀😀😀😀
Tuna...tuansubiri Cs 300 mbili
dreamliner mbili
na q 400 jumla tatu zote zimenunuliwa kwa pesa cash hakuna leasing contract😀😀😀😀😀😀
Tanzania Haina hata uwezo wa kuikomboa bombardier.Soma article vizuri hadi mwisho usikie meneja wa KQ anasema KQ haina uwezo wa kununua hata dreamliner moja kwa hiyo inategemea AWAS, kipi usichokielewa?, Kwa taarifa yako, hata Ethiopia Airways ambayo inapata faida, lakini hawana zaidi ya Dreamliner tatu ambazo wamenunua kwa pesa yao, Kenya haina uwezo hata kununua Bomberdier Q400.
Hivi mbona unalazimisha vitu bila sababu?, hizi zinatoka kwa AWAS sio kwa manufacturer, ndiyo maana wameandika kwamba kuanzia next time watapokea one dreamliner per month, Boeing company haina uwezo wa kutengeneza na kudeliver One Dreamliner per year,leave alone per month, hizi ni kutoka AWAS. Kumbuka hapa Africa hakuna Airline company yoyote unayomiliki Dreamliner sita ilizonunua kwa pesa yake, hata South Africa Airways hawana Dreamline Sita walizonunua, KQ haina uwezo hata wa kununua DL moja.what's the meaning of 'to Acquire something' ppls??? anybody?
Here, at last! High-flying KQ acquires Dreamliner
debt to GDP ratio 60% bado unapanua mdomo tuVery few Airline companies purchase their planes outright/cash as is in the case of mortgage payments.
With an outright purchase, the cost of the plane would probably be spread over a number of years for accounting purposes a process known as armotisation.
Ndege zina bei ghali sana kuliko hata GDP ya nchi zingine kama yenu hivi kwa hivyo inakuwa vigumu kampuni hizo kuweka uwazi wa jinsi wanavyo zinunua.
Others will lease - Effectively like your lease car, you pay a fee per month or year over a contract period. At the end you either get a right to purchase the aircraft for a nominal price or it reverts to the lease company, or you extend the lease.
Purchase Outright - Yes, you can pay cash. Especially older companies may have the cash reserves to pay for new aircraft out of pocket.
Bank Loans - Either a bank or the manufacturer underwrites a loan with the aircraft as collateral. Pretty similar to a mortgage on your house
Trade in
Like buying a new car, you might get a fair price for that old aircraft you had sitting around.
Subsidies - There's still a lot of national prestige involved in some countries with getting foreign airlines to fly your product. Some aircraft manufacturers as a result can deliver well under the list price to foreign airlines because such sales may be heavily subsidised by their governments.
Nimekupeleka shule free of charge najua LDC education is poor or expensive.
wakati imeshanunua mbili na zinafanya kazi tena cashTanzania Haina hata uwezo wa kuikomboa bombardier.
Kama tulilipia cash na ikatoka kiwandani tutashindwaje kulipia hilo deni, kesi ipo mahakamani, tukipoteza kesi tutalipa hilo deni, tupo makini hatulipi madeni hovyo hovyo, kumbuka tumeshalipia na ndege zingine zipo kiwandani muda huu..Tanzania kiboko yao.Tanzania Haina hata uwezo wa kuikomboa bombardier.
2 bombadier cash payment zinafanya kazi nchiniTuna...
endelea kupanua mdomo ila ukweli ndio huuVery few Airline companies purchase their planes outright/cash as is in the case of mortgage payments.