Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila bado wako online wakisambaza chuki nyingi dhidi yetu! Mbwa sana gawa! BTW hivi kwann hatuzalishi umeme kwa coal Tanzania?
Umeme wa coal ni complex na unatakiwa kuwa co-related na mining activities kama ilivyo uzalishaji wa umeme kwenye sugar factories lasivyo ukiwa ni sole production unakua gharama sana, ila project ya mchuchuma tunayoambiwa inaanza mwaka huu, itazalisha megawatts 600
Screenshot_20250428-083709.jpg
 
Hawajaacha kudanganya, hakuna statistics yoyote genuine wanatoa, lots ni fake you can see hata Rais wao kila siku wanamkamata akisema uongo, wao kidogo ndio wameamka baada ya kudanganywa kwa muda mrefu cha ajabu lawama zote wanampa kasongo wakati kiuhalisia hakuna Rais wao hata mmoja aliacha kuwadanganya
Unajua hata mimi zamani, wakati sisi tunajenga Bus terminals wakenya wakawa wanasema wao wako busy na airports.

Eti wao wanaboresha viwanja vya ndege.

Baada ya kufika Kenya😂😂

Usafiri wao wa umma ni takataka kabisa.

Kwanza daladala zao (wao wanaita Matatu) wamezipaka rangi na michoro miingi halafu hazina stand maalum.

Tanzania tuna LATRA anapanga nauli, Kenya hakuna kitu kama hicho. Nauli wanajipangia wenye magari.

Na bado wana magari ya zamaniii, yanayoelekea huko kwa Wakamba, yaani ya miaka ya 90 enzi zetu za UDA.

Airports hakuna kitu. Choka mbaya na hawana pesa za kujenga, ndio maana Ruto akataka kumpa tajiri la kihindi Adani, wakaamndamana.

Huyo jamaa ni mwanasiasa Kenya alifika tu TZ Nyerere Airports, 😂😂👇👇

View: https://youtu.be/7fiStJ66evE?si=LuBPXt44zQok7c_5
 
According to your fake crooked data, mpaka your retailers are depending on us, kariakoo is pumping your reselling economy
So siku hizi bank of Tanzania inatoa fake, crooked data?😂😂🤣😂.

We don’t depend on poor Tanzanians, those retailers depend on Chinese who import cheap products from China without being Taxed.
 
So siku hizi bank of Tanzania inatoa fake, crooked data?😂😂🤣😂.

We don’t depend on poor Tanzanians, those retailers depend on Chinese who import cheap products from China without being Taxed.
Ninyi mna import mitumba from where??

Kenya has become dumping site.

Whats important, kuvaa cheap products from China au kuvaa chupi za mtumba za Mzungu
 
Ninyi mna import mitumba from where??

Kenya has become dumoing site.

Whats important, kuvaa cheap priducts from China au kuvaa chupi za mtumba za Mzungu
Unatupigia kelele yet Tanzania imports more from Kenya than Kenya imports from Tanzania.
 
Unajua hata mimi zamani, wakati sisi tunajenga Bus terminals wakenya wakawa wanasema wao wako busy na airports.

Eti wao wanaboresha viwanja vya ndege.

Baada ya kufika Kenya😂😂

Usafiri wao wa umma ni takataka kabisa.

Kwanza daladala zao (wao wanaita Matatu) wamezipaka rangi na michoro miingi halafu hazina stand maalum.

Tanzania tuna LATRA anapanga nauli, Kenya hakuna kitu kama hicho. Nauli wanajipangia wenye magari.

Na bado wana magari ya zamaniii, yanayoelekea huko kwa Wakamba, yaani ya miaka ya 90 enzi zetu za UDA.

Airports hakuna kitu. Choka mbaya na hawana pesa za kujenga, ndio maana Ruto akataka kumpa tajiri la kihindi Adani, wakaamndamana.

Huyo jamaa ni mwanasiasa Kenya alifika tu Airports👇👇

View: https://youtu.be/7fiStJ66evE?si=LuBPXt44zQok7c_5

😅😅 It's very true kama kwenye issue ya airport tumekuja kuwapiga KO kwenye dakika za jioni kweli, hawatukuti milele, kwenye transportation na logistics kwa ujumla Tanzania tupo mbali mno mbali sana, kuna vitu vingi tunachukulia for granted kama standards of our buses, terminals and so forth lakini Kunyaland ni things they're dreaming of

Watu ambao wametembea Tanzania na Kunyaland wenyewe wanasema Tanzania ipo mbali without bragging, wake wapo mbali kwenye PR wanahype takataka na ni sababu ya ulimbukeni lack of exposure

View: https://youtu.be/V-LZoM3F_fU?si=bu9asPiMQaPLv14A
 
Back
Top Bottom