Deni lao la taifa limezidi 50% ya GDP yao.
Nchi nyingi zinakwepa kuwakopesha.
Kwasasa wanategemea zaidi PPP.
TANZANIA mifumo yetu ya mtandao iko chini ya eGA (Mamlaka ya serikali mtandao)
Kenya wameweka wahuni ambao wanawaita eCITIZEN wanawalipa wao kwanza kabla hawajalipia gharama zao kwa serikali.
Tanzania tuna control number za serikali, Kenya kila kitaasisi kinajiendesha kihuni.
Mwaka huu, CAG wao alikuja Tanzania kujifunza
Lakini kutokana na Kenya kuwa dili la wahuni, hawawezi kukubali kurekebisha.
View: https://x.com/thee_alfa_house/status/1897577565696467337?t=i_gYIvhVwn9HCm1qihyqJg&s=19