Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Punguza wivu, Samsung lazima washushe kitu kama hii. Mtalilia kwa choo very soon.

Image of WSDOT Northwest Region Traffic Management Center with workstations in foreground and monitors on far wall.
Kila mwanaadamu anaruhusiwa kuwa na ndoto. 🤣🤣🤣
 
Mi nangoja matumizi ya Talanta a 60,000 seats stadium baada ya Afcon 2027! Ikumbukwe uwanja ule ni kwa ajili ya soka tu!

IamLee NairobiWalker nairobae Nicxie Teargass mwathadan
Hawajawahi kumiliki akili hawa jamaa, huwa wanafanya mambo kisifasifa ili kushindana na Tanzania, hawajui kwamba kuna mambo automatically yanatokea yenyewe at a time "t". Hivi unadhani wazungu walianza tu from nowhere kujenga viwanja vya mpira?
 
Sasa tukudanganye ili iweje hakuna traffic's lights karibia nusu ya barabara zote kuu za nairobi
Sasa tukudanganye ili iweje hakuna traffic's lights karibia nusu ya barabara zote kuu za nairobi
Ulianza na hakuna traffic lights.
Ukaenda traffic lights ziko Ngong road pekee
Saahii upo karibia nusu ya barabara hazina traffic lights.

Hehehe 😂
 
Hiyo wanaiita service exportation 🤣🤣🤣🤣.
Yanapelekwa Uarabuni yanateseka ila hayasikii.

Ukikuta yanajisifia Remittances.

Juzi yametumia pesa kujenga mfano wa Nyumba ya Mwarabu, ili kabla hayajaenda Uarabuni kufanya kazi za ndani, yapate ladha ya namna shughuli za ndani kwa Mwarabu zikoje.

WAko very desperate kwa hali mbayaa
Screenshot_20250428_065900_X.jpg
Screenshot_20250428_065929_X.jpg
 
Nairobi ikona interchanges na flyovers mingi sana sio kama dar is a slum amabayo inategemea traffic lights na zebra crossings kila mahali. Tulia uwache wivu project lazima ikamilike hadi phase 3, Traffic Management Center ishaanza kujengwa, wacha Samsung wafanye mambo yao ju Nairobi haina rika hapa EA.
So, Kenya mna interchange nyingi kuliko SA?
 
Yanapelekwa Uarabuni yanateseka ila hayasikii.

Ukikuta yanajisifia Remittances.

Juzi yametumia pesa kujenga mfano wa Nyumba ya Mwarabu, ili kabla hayajaenda Uarabuni kufanya kazi za ndani, yapate ladha ya namna shughuli za ndani kwa Mwarabu zikoje.

WAko very desperate kwa hali mbayaaView attachment 3318212View attachment 3318213
Duuh yaan mnaandaliwa kabisa kuwa mahousemaids
 
Back
Top Bottom