Nishakuambia hizo traffic lights za kitambo tumewawachia. Sisi sahii tunatumia za AI na phase 1 inaelekea kukamilika then tuingie phase 2.GDP kubwa Karne hiii hakuna traffic lights kwa karibia mwaka 😝😝😝😝
Kumbe ndo mnaaanza kujenga ebu tuletee zinazofanya KAZI tuone.
Hivi mnavukaje barabara bila kuwa na traffic lights🤣🤣🤣🤣
View: https://www.youtube.com/watch?v=D5__XQ3ejcs