😅😅 It's very true kama kwenye issue ya airport tumekuja kuwapiga KO kwenye dakika za jioni kweli, hawatukuti milele, kwenye transportation na logistics kwa ujumla Tanzania tupo mbali mno mbali sana, kuna vitu vingi tunachukulia for granted kama standards of our buses, terminals and so forth lakini Kunyaland ni things they're dreaming of
Watu ambao wametembea Tanzania na Kunyaland wenyewe wanasema Tanzania ipo mbali without bragging, wake wapo mbali kwenye PR wanahype takataka na ni sababu ya ulimbukeni lack of exposure
View: https://youtu.be/V-LZoM3F_fU?si=bu9asPiMQaPLv14A
Yaani ili upaone Kenya ni pazuri, pameendelea inatakiwa uwe na pesa uishi Kishua.
Usipande daladala.
Ukae mitaa ya kishua.
Uwe na pesa za kulipia barabara (expressway)
Usile kwa mama lishe, wao wanaita Kibandaski.
Usitembee kwenda mikoani Kenya, vijijini huko.
Uwe na pesa za kununua petrol, na umeme maana Kenya ni gharama ya juu kuliko TZ.