Mnaweka traffic lights halafu hizi drama zenu barabarani na police😂😂😂Hakuna traffic's lights according kwa video uliyowekewa kama zipo zilete sio kuleta picha Moja Moja
Traffic police wa Kenya anachukua rushwa mpaka elfu 2 ya TZ.
TAKUKURU ya Kenya inakamata Traffic police barabarani kama KIBAKA.
Angalia kuanzia dakika ya 8.
View: https://youtu.be/SLOCDs5mGxg?si=tiGdxJzSdT-dPV4F