The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Kuna vitu wakenya wa humu huwa wanashangilia mpk huwa nashangaa mana huku kwetu unakuta vipo kitambo sanaaa, wao ndiyo unakuta vimeanza mwaka huu, mfano Kisumu imepata traffic lights in less than two yrs ago, you can't believe aisee.Tumekuletea documentary ikiwa na mitaa kabisa ambayo Iko empty hakuna traffic lights ilitakiwa kutuletea picha au video ikituonesha different area with traffic lights na uzuri wamesema kuwa barabara ya ngong na highway tu ndo kwenye traffic's lights . Leta sehem tofaut na zilizotajwa hapo