Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

24/7 wanawaza Tanzania, Rais wao anaonesha jinsi gn anaiogopa Tanzania, huwezi kusikia Rais wa Tanzania anaongelea Kenya akiwa nje, kwanza it's unethical in leadership to disrespect other country in favour of you to get grant and donations.

This displays your inferiority complex over the country.
Kwani Ruto amedanganya? Ama Tanzania sio LDC?😂😂😂


View: https://x.com/MutembeiTV/status/1915109797294116995
 
The fact is Taifa stars has been in existence before that Indian Goddess name Harambee!

Wazee wa copying mlipoona Wahindi wakitamka harambee wakati wakinyanyua vyuma wakijenga reli! Mkaiga!

The same is true for Football clubs! Even football league!


Jomo Kenyatta simply brought a new word to Kiswahili that is now global. Halafu tukiwaambia ni sisi tumekuza Kiswahili mnabisha.


View: https://youtu.be/lDphAilzBdI?si=v3NQBAxla-EpeApE
 

downloadfile-7.png
downloadfile-6.png

Sawa
 
Wanaiogopa Tz kama ukoma. Wako busy Mitandaoni bad mouthing Tz. Ikitokea mtu mmoja akaitrash Tz basi wakenya wote watamsaport na kutoka shuhuda za uongo.

Tazama hii video comments 90% ni za wakenya bad mouthing Tz.
Sema baadae huyo jamaa aliyekuwa anasema vibaya Tz, iligundulika ni scammer na alifungwa mara tatu Tz. sijui walifichaga wap sura zao

View: https://youtu.be/xJtsdnZJKSk?si=ieLvEPJAGGSeDlKj



View: https://www.youtube.com/live/rU-I3MNeudQ?si=NGnFixLzDQcwZzDZ

Kwani ni uongo? Huyo jamaa alihamia Tanzania na alikuwa anaambia the black Americans wahamie the motherland Tanzania na sasa hivi ameshaondoka, sio yeye peke yake.. wale walihamia Kenya hata hawana mipango za kuondoka, hata wale wa kutembelea tu wanaendanga wakirudi
 
24/7 wanawaza Tanzania, Rais wao anaonesha jinsi gn anaiogopa Tanzania, huwezi kusikia Rais wa Tanzania anaongelea Kenya akiwa nje, kwanza it's unethical in leadership to disrespect other country in favour of you to get grant and donations.

This displays your inferiority complex over the country.
😂😂 kwani alikuwa anaongelesha wachina? Alikuwa anahudhuria wakenya wanaoishi China. In fact alikuwa anajibu swali aliloulizwa “why is it easy to export to China from our neighbors like Uganda Tanzania Rwanda.. “ akamjibu ni kwa sababu Kenya imewekwa category tofauti ya middle incime na ni kwamba tunahitajika tuweke tarrifs za 18% , different from our neighbors who are categorized as LDC hence they don’t charge duties on their exports
Elewa kwanza kabla ulalamike ndio usijitie aibu. Hio sio madharau, hio ni ukweli.
Na mbona mnalia sasa hivi na vile Alisema Tanzania has overtaken Kenya in exports mlishinda kusherehekea humu 😂😂😂
 
Wew kumbe ni mjinga kiasi hiki. Quality of life and wealth distribution na mnavuka lake kwa mitumbwi na ferries kwa masaa mawili for only 3km? Sometimes mtumie akili.
Yes, uko na wealth na magari lakin unakaa kwa ferry kuvuka 3km for 2 hours.

Mnapenda kujilinganisha na wazungu kwenye wealth distribution forgetting hata wao walianza kujenga bridges na such infrastructures.
Nyinyi tu, Mombasa to Nairobi, Nairobi to Nakuru highways, watu wanakufa kila siku kwa ufinyu wa Barabara tena wengine ni rich people with wealthy.
Furahia mambo kama
Nairobi To Nakuru is four lanes
Mombasa Nairobi is four lanes
Nairobi has trams,
Kusherekea uchumi wa makaratasi ni ujinga
Buda sasa mbona umejam? 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom