Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,994
Unakatwa ww si bure,so mchina aweke pesa yake nyingi kwa kusipokua koloni lake!uwepo wa wafanyabiashara wa kichina hapa TZ ni nafuu kubwa kwetu,TZ kwa sasa ni kimbilio la nchi nyingi zinazotuzunguka kwa kuwa na vitu quality nzuri na bei rahisi,kunyan wenzako wamejaa kkooExpressway ni project ya billions na ikona manufaa kubwa Kwa Kenyan economy. Huwezi compare na hao wachina wanafanya hawking dar is a slum.