Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikua sija notice imebidi niirudie tena. 🤣🤣🤣🤣
Alafu huwa anakataa kwamba huyu mwenye t-shirt iliyochoka ya wasafi sio yeye 👇👇🤣🤣🤣
Screenshot_20250427_084831.jpg
Screenshot_20250427_084653.jpg
 
Hivi lile jengo la TRA liliishia wapi?

Ah naona wanafanya renovation ya jengo lile lile la zamani Long Room... Hawajalivunja tena. Lingeleta shida kwa TPA tower kama wangevunja na kuchimba space ya hilo jipya la TRA.

Hapo kuhusu kuvunja ni maneno tu ya mtaa nilisikia kuhusu kuathiri misingi ya TPA tower maana Yako karibu. Wataalam wanaweza kusema zaidi.. Geza Ulole ChoiceVariable
 
Kaka nahisi kuna kama project 5 hadi 10 kwa posta upanga na miko za NHC, Watumishi Housing na Private groups , na nyingine hata 10 Kkoo ,hatuzijui vizuri na hatuna Uzi kule SSC tunaomba u update ukipata time ninazojua ni
1. Sky morroco 20f
2 watumishi housing morroco
3. Hii umepost leo 25F
4 kuna project flani 2 hivi mikocheni upande wa beach
Pamoja Boss, Oysterbay pia pa moto.
 

Those are lawyers wenye wanatafuta pesa, they will know even what’s happening in the remote villages of Malawi. Ama hujui Karau even went to Uganda to be a Besyige Lawyer?

Hakuna siku utampata Mkenya wa kawaida akishugulika na mambo ya Tanzania. Nyinyi there is just a program set aside in your broadcasting channels to discuss about Kenya.


View: https://youtu.be/386XqKTnkbk?si=YLQ0RlApQWLDuKxZ
 
Kaka nahisi kuna kama project 5 hadi 10 kwa posta upanga na miko za NHC, Watumishi Housing na Private groups , na nyingine hata 10 Kkoo ,hatuzijui vizuri na hatuna Uzi kule SSC tunaomba u update ukipata time ninazojua ni
1. Sky morroco 20f
2 watumishi housing morroco
3. Hii umepost leo 25F
4 kuna project flani 2 hivi mikocheni upande wa beach
Hizi projects zenu zinatafutwa tu kwa torch. Lazima muitane meeting ndio muweze kufikiria hata tatu pekee😂😂🤣😂.

Nairobi alone I can count for you over 30 buildings of over 30 floors that are currently under don’t construction without a blink. Za over 20floors hata tuitane meeting hapa wakenya wote we can’t mention them all cause they are too many.
 
Yani mmepata more tourists than the total number of passengers handled by all your airports combined? Halafu nyinyi ndio magwiji wa kuwika ati cooked figures.😂😂
Ingekuwa these numbers are scrutinized by external/Neutral institutions ungeshangaa vile bado wako chini in terms of tourism numbers and receipts. Yani their tourism number is more than the number of their total air traffic for both domestic and international travelers.

No wonder World Bank and IMF flagged them for cooking their economic figures.
 

Kenya is a failed country, and they don't know how to reset.

Ili Kenya ikae sawa, Mkenya wa kawaida anufaike, labda kuwe na very aggressive socialists policies.

Jambo ambalo ni gumu maana walishauza nchi kwa Mzungu.

Wangeweza,

Wangetaifisha ardhi yote.

Futa dual citizenship.

Unfortunately, wakifanya wanaweza pia kurisk kuwa Zimbabwe maana Mzungu hawezi kubali.


Then, waache shobo za kutafuta branches za foreign tech companies, wapambane na manufacturing.

Bila hivyo, ni story kila mara.
 
View attachment 3316730



Eneo ambalo ilikua ijengwe Golden Anniversary ya NHC iliyohamishwa Kawe karibu na 7/11 ( seven eleven ) halafu ikastall .( Wakulungwa enzi ya SSC miaka hiyo watakumbuka) Sasa panajengwa structure nyingine ya NHC yenye 25Floors. Structure hii ipo Nyuma ya Crown plaza au Pembeni ya Viva na Uhuru Heights.
This one will take 30yrs to finish, just like Mzizima Tower which Started Construction in Feb 2013, we are in April 2025 lakini bado kuishi kwake hakujulikani. Anyway, congratulations for constructing the first 20 floors building since 2017.
 
Hizi projects zenu zinatafutwa tu kwa torch. Lazima muitane meeting ndio muweze kufikiria hata tatu pekee😂😂🤣😂.

Nairobi alone I can count for you over 30 buildings of over 30 floors that are currently under don’t construction without a blink. Za over 20floors hata tuitane meeting hapa wakenya wote we can’t mention them all cause they are too many.
🤣🤣🤣 Kuona construction crane in Dar is a slum sahii nikama kuona rainbow usiku.
 
Back
Top Bottom