ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Oya umefanya google search ya notable Kenyan brands na umepata list in no particular order so ni wapi umeona ni top 5? According to you hio list iko in order?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ hii report ilikua released 2016 ๐๐พView attachment 3308993unafanya assumption kwamba ili updatiwa.? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ kwa hiyo sales zimebaki stuck hapo for ten good years onwards.?
Halafu usijifanye eti just a supermarket. Naivas is the top retail brand in your country and 5th top brand in kundurenda ๐๐พView attachment 3309004kimsingi Ndio top ukiachana na hizo banks za wenyewe. And guess what all the above are foreign investments. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ kenya wanachomiliki ni magovi tu
You mean when a Kenyan billionaire goes to the US to invest inamaanisha tunawatawala? Hapo ndiopo fikra zako zimekwamia?Kwa sababu huko Kuna wajinga tunakuja kuchukua fursa na kuwatawala.
We rule and feed you ๐๐
๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
View: https://www.instagram.com/reel/DIlK0NYNWZ9/?igsh=dTY5NTdjYnZwb2lz
Oya umefanya google search ya notable Kenyan brands na umepata list in no particular order so ni wapi umeona ni top 5? According to you hio list iko in order?
Ko bakresa ndio company kubwa Tanzania? ๐๐ Hata haipo top 5 Barrick unaijua?We are not fools, $800 million is the estimated revenue for Bhakresa group. Sisi sio wajinga bana.
View attachment 3308654
Kundustan ni Third world countryYou mean when a Kenyan billionaire goes to the US to invest inamaanisha tunawatawala? Hapo ndiopo fikra zako zimekwamia?
Hakuna kampuni ya kikenya ambayo ina mauzo zaid ya bakhresa walicholeta hapo ni estimation za mauzo yake kwa mwaka 2016, hakukua na hotel verde, united petroleum , kiwanda cha sukari kipindi hicho hiyo naivas totalrevenue ilikuwa 0.6mil usd .Ko bakresa ndio company kubwa Tanzania? ๐๐ Hata haipo top 5 Barrick unaijua?
usifike kwa barric utajiri wa azam nkwa viwanda vya cereal to unaizidi hata hiyo safaricom by total assetsKo bakresa ndio company kubwa Tanzania? ๐๐ Hata haipo top 5 Barrick unaijua?
chinnese bus ndio hzo zimetumika world cup qatar ๐๐๐๐๐We have better School buses than this Chinese box. Hii mambo ya school buses tulishamaliza hapa kitambo.