President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,002
- 93,350
Miss Grand Tanzania. Inaanza kutimua vumbi. Wakenya na njaa zao sura zimekomaa
Hakuna kitu Kundustan mumewahi fanya bila bakuli ya Mabeberu,hovyo kabisaYani mmepata more tourists than the total number of passengers handled by all your airports combined? Halafu nyinyi ndio magwiji wa kuwika ati cooked figures.😂😂
Wewe ndio unajua kuishinda UN. 🤣🤣Slums in our own standards.
Ila tukichukua slums zetu tukaleta Kenya, zinageuka Kileleshwa.
Kenya is an undisputed goat of slums in the world.
Hii hata haiwezikuwa Kibera.Slums in our own standards.
Ila tukichukua slums zetu tukaleta Kenya, zinageuka Kileleshwa.
Kenya is an undisputed goat of slums in the world.
Kipofu anamueleza chongo jinsi ya kutembea bila kugonganagongana na watu njiani.Kenya is a failed country, and they don't know how to reset.
Ili Kenya ikae sawa, Mkenya wa kawaida anufaike, labda kuwe na very aggressive socialists policies.
Jambo ambalo ni gumu maana walishauza nchi kwa Mzungu.
Wangeweza,
Wangetaifisha ardhi yote.
Futa dual citizenship.
Unfortunately, wakifanya wanaweza pia kurisk kuwa Zimbabwe maana Mzungu hawezi kubali.
Then, waache shobo za kutafuta branches za foreign tech companies, wapambane na manufacturing.
Bila hivyo, ni story kila mara.
Hiyo ni very far aerial view, na haijukikani ni wapi??Hii hata haiwezikuwa Kibera.
Kibera kuna barabara za lami, umeona lami hapa?
View attachment 3317367
Hakuna kitu Kundustan mumewahi fanya bila bakuli ya Mabeberu,hovyo kabisa
View: https://youtu.be/vwenJfnTazU?feature=shared
UN wanakwambia hakuna maji,.Wewe ndio unajua kuishinda UN. 🤣🤣
Total PaX za 2025 unataka kutoa kwenye matako yako? Hata hatujafika half of 2025 lakini wewe tayari uko ready kutupea figures za 2025. Nikiwaambia mnapika data hamuamini.Una takwimu za total PAX by 2025?
Weka hapa tuone vile zinapishana.
Bakuli nation 😁😁 👇👇Hata wenzio wanakujua kama chawa.
Ndio maana mtu akipost tu fenced land for construction wote wanafurahia ungedhani Tanzania imeshinda game ya AFCON.🤣🤣🤣 Kuona construction crane in Dar is a slum sahii nikama kuona rainbow usiku.
Haubadilishi ukweli, period!Mambo ya Dar tulishaachana nayo, now tupo Dom, Dar, Nairobi, Kampala ni miji ya kizamani.
🤣🤣🤣👇👇👇👇Ndio maana mtu akipost tu fenced land for construction wote wanafurahia ungedhani Tanzania imeshinda game ya AFCON.
Utajuaji na Hujaichoka Loliondo? Wewe Huoni wenye wameshindwa wamenyamaza? Ngoja tuanze kuongelea Loliondo ndio ukuje upanue midomo hapa.Hiyo ni very far aerial view, na haijukikani ni wapi??
Taja ni wapi hapo
🤣🤣🤣👇👇👇Utajuaji na Hujaichoka Loliondo? Wewe Huoni wenye wameshindwa wamenyamaza? Ngoja tuanze kuongelea Loliondo ndio ukuje upanue midomo hapa.
Loliondo imekuaje?Utajuaji na Hujaichoka Loliondo? Wewe Huoni wenye wameshindwa wamenyamaza? Ngoja tuanze kuongelea Loliondo ndio ukuje upanue midomo hapa.
Pingana na hawa.Loliondo imekuaje?
Midomo mnapanua nyie wala Githeri na ugali wa pumba