President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 33,999
- 93,349
Google earth is screaming it., hapa u don't need nguvu mingi, it's too obvious!
UN wanakwambia hakuna maji,.
Na hapa hatuzungumzi maji.
Ni quality maisha ya wahusika ukianza na barabara na makazi.
Kwa sababu Uber is the only taxi app in the world according to you.
Tuambie Kenya mnatumia nini zaidi ya Uber?Kwa sababu Uber is the only taxi app in the world according to you.
Hatufatiliagi mambo ya Tanzania hata hatumjui makamu wao wa Rais 😁😁
View: https://x.com/thekenyatimes/status/1916347223807341031?t=trRW-vXXa9J7vciuRJMRkA&s=19
View: https://x.com/MarthaKarua/status/1916017303503720731?t=NRR0MhjgRXI_Hnlja9QLLQ&s=19
Sipingani nao.
But, hizo slums huwezi kulinganisha na Korogocho, Mukuru, Kibera , Mathare etc where 90% of Nairobians live.
Kama ni issue ya City plnanning hata Nairobi ni FAILED.
View: https://youtu.be/-CBTpABHwpM?si=m-rkxh9qVLAkS7wC
Sisi ni chongo, but at least we still own our country.Kipofu anamueleza chongo jinsi ya kutembea bila kugonganagongana na watu njiani.
Ask GoogleTuambie Kenya mnatumia nini zaidi ya Uber?
Your country is owned by Arabs, whites and Kenyans. Chinese pia washaanza kuwanyang’anya nchi polepole.Sisi ni chongo, bit at least we still own our country
Thats why nimekuuliza hapo hiyo picha ni wapi kwa Dar!!All those places you have mentioned ziko na lami, Umeme, internet and self contained apartments. Slums za Tanzania on the other hand lami ni anasa, Umeme unapiga tu kwa main highway, internet cables ndio sasa shida kabisa, alafu choo na baby ziko nje being shared by 10 neighbors. Ama unapinga nikuonyeshe?
It's clear hujawai fika Kenya, nyinyi endeleeni kuamini wakenya wengi ni maskini na wanachukiana ju hivyo ndio mko brainwashed. 😂😂Sisi ni chongo, bit at least we still own our country.
Wakenya mnaishi kama viboko kwenye tope, nyumba za mabati, chakula ni sukuma, while worshipping and recycling rich tribal politicians.
What a failed country.
Mmetengenea Wazungu mazingira mazuri ya kuishi, huko Westlands, Upperhill, Kilimani, Karen halafu ninyi mnaishi Mukuru kwa Njenga kama burukenge😂😂