Umeona picha yake mbele ya voice search! 😂😂😂Mwamba anakomaa na 3G since 2017 na maisha yanaenda kama kawa, ila wakenya wana mambo aisee, just imagine 3G in 2025🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3316936
Huyu yupo matakoni mwa Dunia huko kundustan😂Mwamba anakomaa na 3G since 2017 na maisha yanaenda kama kawa, ila wakenya wana mambo aisee, just imagine 3G in 2025🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3316936
Nilikua sija notice imebidi niirudie tena. 🤣🤣🤣🤣Umeona picha yake mbele ya voice search! 😂😂😂
According to UN habitantsAccording to you.
Where’s the worst shoes in the World?… Tandale 🤣🤣🤣🤣
View attachment 3316591
Maku familia ya kina ichoboy01 ndio wamilikiEbu taja jina la Huyo Mtanzania na Kama sio mwarabu nahama JF. Magari zimetengenezwa Kenya.
Kaka nahisi kuna kama project 5 hadi 10 kwa posta upanga na miko za NHC, Watumishi Housing na Private groups , na nyingine hata 10 Kkoo ,hatuzijui vizuri na hatuna Uzi kule SSC tunaomba u update ukipata time ninazojua niView attachment 3316730
Eneo ambalo ilikua ijengwe Golden Anniversary ya NHC iliyohamishwa Kawe karibu na 7/11 ( seven eleven ) halafu ikastall .( Wakulungwa enzi ya SSC miaka hiyo watakumbuka) Sasa panajengwa structure nyingine ya NHC yenye 25Floors. Structure hii ipo Nyuma ya Crown plaza au Pembeni ya Viva na Uhuru Heights.
mwanaume kamwaga FAW new model zaidi ya 50
View: https://www.instagram.com/reel/C7BXX9vNO4w/?igsh=OW9pYmRsZXBuM2Ns
Hatufatiliagi mambo ya Tanzania hata hatumjui makamu wao wa Rais 😁😁
View: https://x.com/thekenyatimes/status/1916347223807341031?t=trRW-vXXa9J7vciuRJMRkA&s=19
View: https://x.com/MarthaKarua/status/1916017303503720731?t=NRR0MhjgRXI_Hnlja9QLLQ&s=19
Banbros have really upped their game of late.Built in Kenya by Kenyans for Kenyans at Banbrose.
![]()
https://www.facebook.com/groups/749...HCstNoRRxPgNPQyWfvfF5vxYS49x1jA&[B]tn[/B]=<*F
The only AA I know of is Alcoholic Anonymous 🤣🤣😄 ( nobody uses AA to describe African Americans outside of Tandale ), meanwhile your sneakers have become a world phenomenon 😄😄View attachment 3317015
babu jinga ukaona uvae nguo za mumeo AA japo ziko over size
Yanakera sn hasa kkoo, na sijui kwnn waafrika tuna utaratibu wa hovyo namna hii, sio lazima manyaya tuyapitishe chini cz cost ni kubwa na kwa wakati huu tunaweza tusi afford, lkn tungeweza kuwa na utaratibu mzuri wa kuzifunga sehemu moja na ikapendeza tu, cha ajabu manyaya yamewekwa hovyo hovyo na watu wa mazingira wapo na hawaongei, tunapenda sn kuchukulia mambo poa tu kwa kila kitu.Suala la sidewalks maeneo ya posta tunasolve mdogo mdogo hasa kwa hiz BRT systems. Tatizo ni hayo manyaya ya fibre. Siku yakitolewa Dar city center itapendeza sana
Kuna siku nilitaka niseme ila nikakausha 🤣🤣🤣🤣Umeona picha yake mbele ya voice search! 😂😂😂