Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚View attachment 3316751
Watchman Nicxie tuoneshe hayo mabanda ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
downloadfile-37.jpg
downloadfile-34.jpg
 
Enyewe Nairobi ipewe heshima yake. Kuna watu wakona CBD ya towers tatu. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

View attachment 3316929
Kila kitu kimeishia hapo hapo, mji mzima unaonekana kwenye just a large scale picture, c kwa ubaya ila kamji kenu kadogo sanaaa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
View attachment 3316730



Eneo ambalo ilikua ijengwe Golden Anniversary ya NHC iliyohamishwa Kawe karibu na 7/11 ( seven eleven ) halafu ikastall .( Wakulungwa enzi ya SSC miaka hiyo watakumbuka) Sasa panajengwa structure nyingine ya NHC yenye 25Floors. Structure hii ipo Nyuma ya Crown plaza au Pembeni ya Viva na Uhuru Heights.
Suala la sidewalks maeneo ya posta tunasolve mdogo mdogo hasa kwa hiz BRT systems. Tatizo ni hayo manyaya ya fibre. Siku yakitolewa Dar city center itapendeza sana
 
Kila kitu kimeishia hapo hapo, mji mzima unaonekana kwenye just a large scale picture, c kwa ubaya ila kamji kenu kadogo sanaaa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Nairobi has the most skyscrapers in SSA after Joburg. Na hata hio Joburg tunaenda kuipita soon. Sisi sio rika yenu.
 
Back
Top Bottom