chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,673
- 45,902
Wanaiogopa Tz kama ukoma. Wako busy Mitandaoni bad mouthing Tz. Ikitokea mtu mmoja akaitrash Tz basi wakenya wote watamsaport na kutoka shuhuda za uongo.
Tazama hii video comments 90% ni za wakenya bad mouthing Tz.
Sema baadae huyo jamaa aliyekuwa anasema vibaya Tz, iligundulika ni scammer na alifungwa mara tatu Tz. sijui walifichaga wap sura zao
View: https://youtu.be/xJtsdnZJKSk?si=ieLvEPJAGGSeDlKj
View: https://www.youtube.com/live/rU-I3MNeudQ?si=NGnFixLzDQcwZzDZ
Inashangaza kwenye kila content inayoisema vizuri Tanzania utawakuta wakenya wengi sana wanaitrash mfano ni hili saga la Malawi na SA, wakenya wengi wapo upande wa Malawi na SA lakini hutokaa uone watanzania wakisema chochote kwenye lolote linalohusu Kenya hata comments zetu hutoziona