Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,049
- 33,280
Siku hizi Nairobi ni miji ya watu? Yani huwamini the beauty of Nairobi?Hii picha ya KQ ikitua miji ya watu ina kazi gani humu?
Siku hizi Nairobi ni miji ya watu? Yani huwamini the beauty of Nairobi?Hii picha ya KQ ikitua miji ya watu ina kazi gani humu?
Zumbukuku leta evidence kuwa inamilikiwa na Kenya
Tanzania is LDC and everybody around the globe knows it.Kuongoza ng'ombe za kibera ni rahisi sana. Nabii anaambiwa apunguze tozo na Kodi kutoka pamoja na VAT kwa bidhaa zinazotoka China ili wakunya wanunue na kuingiza vitu kwao direct akaona hawezi akaamua kiwadara rasa na walivyomafala wamejaa kwenye mfumo
Kusema tu majirani ni LDC nyangau wote ni kukenua tu kuonesha meno yao marefu kama rato bila kujua problem waliyo address haijapatiwa solutions. Kusikia LDC tu bhas wakarudi kulala njaa kwenye slums zao.
Husler anawazungusha tu kama katituu...kunyans ni hopeless creatures. No wonder Karne hii bado wanapewa ahadi za ugali na wanasiasa wao.
Tanzania is LDC and everybody around the globe knows it.
Uzuri hatutembezi bakuli kwa LDC kama Tanzania.View attachment 3314060
Tajiri akipita kutembeza bakuli
Wewe jamaa si unakuanga desperate! You are mentioning accidents in Kenya as if they don't happen in Tanzania. Hapa ndio ukilaza imekufikisha?Nyinyi tu, Mombasa to Nairobi, Nairobi to Nakuru highways, watu wanakufa kila siku kwa ufinyu wa Barabara tena wengine ni rich people with wealthy.
Furahia mambo kama
Nairobi To Nakuru is four lanes
Mombasa Nairobi is four lanes
Nairobi has trams,
Kusherekea uchumi wa makaratasi ni ujinga
Ujinga ni mwingi sn, eti usiweke mambo hadharani kwa kisingizio eti utanyimwa misamaha ya kifedha, ni upumbavu sn huu, alafu pesa zenyewe zikija % kubwa inaishia mifukoni mwao.Bado kuna wazee wenye akili za kijamaa huko CCM wako hadi BOT.
2025, waache kuficha data, wekeni kila kitu hadharani investors wachangamkie Tanzania.
Huoni Kenya ukiiona mitandaoni inavyosifiwa unaweza fikiri iko level moja na Singapore ila ukifika kwa ground ni Burundi iliyochangamka. Kenyan wamewekeza nguvu yao kujibrand kwamba ni the best kuliko other African ( Jana Ruto anaomba mkopo bila aibu kwa kusema amezungukwa na neighbors LDC tu) ili wapendwe na investors wakizungu. Wazungu wasio na exposure watafikiri Uganda na Tanzania ni maskini kutupwa, so nothing appealing to them
Mtajenga mabarabara, treni, airport nk bila branding no one will know if they exist in Tanzania na mbaya zaidi mna jirani kichomi na parasite anayechukua upole na ukimya wenu kujibrand is the best.
Nani kakuambia Tz sio middle income country, au kwakuwa tunakaa kmy zen unajitoa ufaham. Au mnadhani hivi vineno neno vyenu vya kujifariji ndiyo vitabadili economic status ya Tanzania?Bridge moja au mbili sio measures za kuwatoa kwa LDC, heri mngeshughulikia quality of life and wealth distribution kwanza
You don’t just build a “not so fancy bridge” then expect to go to middle income
If that was the case, Rwanda could be a high income nation
Kigali
View attachment 3313897
View attachment 3313898
Ethiopia could be miles away
Addis
View attachment 3313901
Sasa tofaut yake naye ni nini? Nyote mnaijua Dar ila Nairobi hamjakanyaga.Ni kama vile mnawakataaga wakenya wenzenu kule twitter, nothing special. Huyo anaijua Dar ila haijui Nairobi, akifuatilia huu uzi vzr ataelewa tunazungumzia nn.
Development na infrastructures za Tz tukisema tusambaze EA zitajaa nchi zote na kubaki, that is because nchi na vimiji vyenu ni vidogo sanaaaa.Bridge moja au mbili sio measures za kuwatoa kwa LDC, heri mngeshughulikia quality of life and wealth distribution kwanza
You don’t just build a “not so fancy bridge” then expect to go to middle income
If that was the case, Rwanda could be a high income nation
Kigali
View attachment 3313897
View attachment 3313898
Ethiopia could be miles away
Addis
View attachment 3313901
Ndiyo mana nikasema akifuatilia huu uzi vzr ataelewa tunazungumzia nn, kuwa muelewa basi Nduta.Sasa tofaut yake naye ni nini? Nyote mnaijua Dar ila Nairobi hamjakanyaga.
Wewe watchman income ni tofauti na development. Hapa tunaongelea development and that’s why Tanzania is categorised as Least Developed Country.Nani kakuambia Tz sio middle income country, au kwakuwa tunakaa kmy zen unajitoa ufaham. Au mnadhani hivi vineno neno vyenu vya kujifariji ndiyo vitabadili economic status ya Tanzania?View attachment 3314079
Mkitaka kutuonesha vile CBD yenu ni kubwa hiyo Kisutu yote, Kariakoo, hadi kule kwa Statehous na Upanga mnasema ni CBD.Tukishaawaonesha vile CBD yenu ni ya ovyo mnazitoa hizo sehemu zingine zote inabaki posta pekee. Tuelezeni ukweli, CBD yenu ni wapi? Tuelezeni ndio next time tukijadili tujua tutawapiga za wapi.tofautisha CBD na kisutu kwanza kenge albino wewe😂😂
Kwa hivo wewe unaijua Nairobi kwa kufuatilia huu uzi?Ndiyo mana nikasema akifuatilia huu uzi vzr ataelewa tunazungumzia nn, kuwa muelewa basi Nduta.