Unamdanganya nani humu?
Mlidanganywa kuhusu electric Standard Gauge Railway mkapiga vigelegele humu, leo kiko wapi!
Mlidanganywa mtajengewa BRT mkapiga vigelegele humu, leo kiko wapi!
Mlidanganywa SGR kufika malaba, leo kiko wapi!
Mlidanganywa “treni za mchongoko” wote tunajua mmeletewa nini.
Uongo ni mingi.
Hivi lile daraja refu mlilopewa ahadi kule pwani miaka na miaka liko wapi!
Vipi kuhusu lile daraja la waenda kwa miguu la kufunga na kufungua! 😂😂😂
Wanasiasa wenu huwa wanawadanganya maana wanajua hamna akili “siasa za mtu wetu”