Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,133
Comedy gani na hata viongozi wenu wanajua.
View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1905565187106570303
hivi Ukunyani hamna Wachina? Wale walikuwa wanawanyuka viboko?
Comedy gani na hata viongozi wenu wanajua.
View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1905565187106570303
Achana nao.Ili ujue hizi GDP ni usenge angalia Tanzania ina export business worth of 16B$ lakini Kunyaland inayoexport 8B$ almost equal to Burundians eti ina GDP kubwa 😂😂😂
Pipeline ikianza operation sio Tu itakuwa at par to Tzs bali pia itakuwa pesa yenye thamani kubwa na nguvu zaidi EA ikifuatiwa na Tzs japo viongozi wa nchi yangu wamelala sn na siwaelewi lengo lao nn kuhusu nguvu ya Tzs.
Kutangaza au kutandaza mkuuAchana nao.
Ukweli wanaujua sana.
Ati GDP yao imepanda kwa $29billion within a year😂. Then Ruto is the best president ever.
What matters is to solve country problems, leo nimeona wanaanza kutangaza reli ya kuelekea Bandarini kuunganisha na SGR maeneo ya chang'ombe. Soon cargo operations zitaanza
Hawauzi madafu kama bongoslumhivi Ukunyani hamna Wachina? Wale walikuwa wanawanyuka viboko?
They hate Tanzania with all their hearts, na media zao zinachochea hate pia.Inashangaza kwenye kila content inayoisema vizuri Tanzania utawakuta wakenya wengi sana wanaitrash mfano ni hili saga la Malawi na SA, wakenya wengi wapo upande wa Malawi na SA lakini hutokaa uone watanzania wakisema chochote kwenye lolote linalohusu Kenya hata comments zetu hutoziona
na wasomali?Hawauzi madafu kama bongoslum
Somali is a Kenyan tribe.na wasomali?
Akili za siisiiemuHuwa hawaelewi the reality of the world.
Ndio maana tunawaita mazuzu. Enda DRC ndege zinaingia msituni na zinatoka matani ya cobalt. Zingine zinabebwa kwa Lori zinaletwa Hadi hapa Nairobi na zinakuwa exported kwa ndege ama zinapelekwa Mombasa zinaenda na meli.Ingekuwa hivyo kwenye makaa ya mawe , Kaa kwa tulia huwez kusmuggle mzigo wa tan 20000. Hii sio Kongo
There's a difference between Kenyans and tanzanians. During campaigns, ALL politicians in the whole world tell lies. In Kenya, we don't believe the lies, we ridicule them online and make fun of them. In Bongolala, you believe everything your politicians tell you. That's why we call you Wadanganyika.Unadanganywa vipi kwenye vitu vinavyoonekana?
Hivi kuna nchi raia wake wanadanganywa kama mafala na wanasiasa kama hiyo nchi yenu?
Kk govm promised kunyans free data bundles and free phone calls, Mmepata bado?
Na Malawi na South Africa wanasemaje? We should hear their side of the story, sio Kila siku mnasema ndugu zetu ndugu zetu while they are not claiming you in the same way.Ndugu zenu Sudan na Somalia huko tutokee hapa nani anataka undugu na nyangau man eating man society.
Actually your real estate business wholly is owned by Chinese
View: https://youtu.be/oAOjkgqu1rU?si=FNRIFsuSJRlloWjD
Unamdanganya nani humu?There's a difference between Kenyans and tanzanians. During campaigns, ALL politicians in the whole world tell lies. In Kenya, we don't believe the lies, we ridicule them online and make fun of them. In Bongolala, you believe everything your politicians tell you. That's why we call you Wadanganyika.
You know very well even the normal Tanzanian on the street can tell you who the real Wadanganyika is between these two countries. You choose to pretend but you know the truth.Unamdanganya nani humu?
Mlidanganywa kuhusu electric Standard Gauge Railway mkapiga vigelegele humu, leo kiko wapi!
Mlidanganywa mtajengewa BRT mkapiga vigelegele humu, leo kiko wapi!
Mlidanganywa SGR kufika malaba, leo kiko wapi!
Mlidanganywa “treni za mchongoko” wote tunajua mmeletewa nini.
Uongo ni mingi.
Hivi lile daraja refu mlilopewa ahadi kule pwani miaka na miaka liko wapi!
Vipi kuhusu lile daraja la waenda kwa miguu la kufunga na kufungua! 😂😂😂
Wanasiasa wenu huwa wanawadanganya maana wanajua hamna akili “siasa za mtu wetu”