Hizo za Kenya ukiangalia hata kwa macho unapata wasiwasi mkubwa reality haiendani na data wazee wa kupika kutenga na kujustify.Most metrics ya Kenya vs Bongoslum lazima Kenya ikue twice more. Here is another one for power distribution network length. Na vile nchi yao ni kubwa. 🤣🤣😆
View attachment 3314170
View attachment 3314166
Haya mtuambie ziko wapi hizo 310K of power network