Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo hiyo ndiyo source yako 🤣 🤣 🤣 🤣 Where is your source?
Actually Safaricom total revenue is more than $5B

1745168159330.png
 
Utau nyangau kwa pressure bure sisi tunakimbiza mwizi kimyakimya. Ukimwekea na Caspian hapa si watatoweka wote humu?
It will take your companies years reach where Safaricom is currently.

$5B in revenues.

1745168939543.png
 
ATCL ( Any Time Cancellation Limited) was only revived for political reasons related to inferiority complex due to a superior neighbor’s airline to the North. There was no economic aspects that justified or made any real sense. Same reasons used to build a failing electrified SGR ( just to say “ ours is electric”). Inferiority complex promax.
Hata BRT walifanya kujishindanisha na Kenya, angalia sasa inavyojifia.
 
Take 4 of your best companies, their revenue haifikii hata Safaricom. Na hizo numbers Umeweka hapo juu ni rumors.


Safaricom revenues was Ksh506.7B
View attachment 3310452
Utalia, 🤣🤣🤣🤣 we lala tu mzee. Bongo sio size yenu.

Unasema hizo namba ni rumors ilihali zimetoka kwenye website za makampuni yanyew.? 🤣🤣🤣 we Lia tu mzee wa govi.
 
Safaricom 👇👇👇👇👇Financial Position Ratios (also called Balance Sheet Ratios)


1745169915598.png



Total Current Asset = Ksh 82,541.9M
Total Current Liabilities = Ksh 167,822.1M

82,541.9M/ 167,822.1M = 0.49
Maana yake watu wakija kuidai safaricom wale wa madeni ya mda mfupi hawawezi kulipwa 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom