concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Kwa kuwa na idadi kubwa ya shares na sio kuwa ndo the most profitable company au the largest company by assets.Does that change the fact that it's the biggest company in East Africa?
Assets = liability + equity
Sasa ukiangalia safaricom Ina madeni mazito na idadi kubwa ya shares huwez compare na kampuni kama metl mwenye mtaji mkubwa na hapo hajaweka hisa zake kwa ajili ya kuuziwa akisema aweke hata safaricom haiwez fikia hata robo.
Halafu jifunze mentality ya wafanyabiashara watanzania mfano wa amsons ana amini katika kuwa full mmiliki badala ya kugawana shares usumbufu unaochelewesha ukuaji wa kampuni.
Leo safaricom ikipata kashfa kidogo watu wanatoa pesa zao inafirisika kabisa.