Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna ya kikenya ambayo ina mazuo zaid ya bakhresa walicholeta hapo ni estimation za mauzo yake kwa mwaka 2016, hakukua na hotel verde, united petroleum , kiwanda cha sukari kipindi hicho hiyo naivas totalrevenue ilikuwa 0.6mil usd .
total assets za naivas hazifikii hata 200mil usd
hazifikii hata dhamani ya hili dude moja na haya yako 13
View attachment 3309212
post total assets za naivas au safaricom then wecompare with only azam kabla hatujaenda kwa wengine
Ilikua ni report ya 2015 mkuu. Ambapo kampuni karibu nusu zilizopo now hazikuepo na nyingine zilikua changa. Hii hapa history Yao. 👇🏾.
View: https://youtu.be/HQ6EYIPvfsA?si=IbpPBB4ZW5d2rVBW.
 
MNATAKA TUANZE KUZICHAMBUA TUKILINGANISHA NA ZA TANZANIA ?
View attachment 3309181

Safaricom

View attachment 3309182

East African Breweries

View attachment 3309183

Equity Bank Kenya

View attachment 3309184

Kenya Airways

View attachment 3309185

Coca Cola

View attachment 3309186

KCB Group LTD

View attachment 3309187

Co-operative Bank of Kenya

View attachment 3309189

Bamburi Cement

View attachment 3309188

Standard Chartered Kenya

images


British American Tobacco

images


Kenya Power and Lighting Company

images


Nation Media Group

images


Airtel

images


Britam Holdings PLC

images


Diamond Trust Bank

images


Equity Group Holdings

images


I&M Bank Group

images


Kenya Pipeline Company

images


Mumias Sugar

images


Bata shoes

images


Bidco Africa
Did you analyze my post before responding?
 
Hakuna kampuni ya kikenya ambayo ina mauzo zaid ya bakhresa walicholeta hapo ni estimation za mauzo yake kwa mwaka 2016, hakukua na hotel verde, united petroleum , kiwanda cha sukari kipindi hicho hiyo naivas totalrevenue ilikuwa 0.6mil usd .
total assets za naivas hazifikii hata 200mil usd
hazifikii hata dhamani ya hili dude moja na haya yako 13
View attachment 3309212
post total assets za naivas au safaricom then wecompare with only azam kabla hatujaenda kwa wengine
Unajua zaidi kuliko hao Bhakresa? Si ni hao wameandika their annual revenue is$800M? Sasa wewe ni nani upinge?
 
chinnese bus ndio hzo zimetumika world cup qatar 😂😂😂😂😂
Not those fake ones mnauziwa Tanzania. Tanzania mnauziwa vitu fake, that’s why they can’t last more than 2yrs kwa barabara.
 
kuto update website sio kwamba ndo kilichopo mtaani , ukisoma chini hapo kuna maelo kabisa kuwa wanatarajia kufungua kiwanda ha sukari wakat tayari kina miaka toka kifunguliwe. nincompoop
Sasa nisiamini their official website ati nikuamini wewe ng’ombe? Not in this world.
 
Sasa nisiamini their official website ati nikuamini wewe ng’ombe? Not in this world.
webiste haijawekewa taarifa mpyaa kwa miaka sasa umeoneshwa source ya taarifa yako kuuwa ni toka mwaka 2016 . na umeelezwa kabisa toka mwaka 2016 azam kafungua viwanda mara mbili ya 2016 kwhiyo mapato yataendelea kuwa 800mil , sio lazima aweke public mauzo yake ila ukienda tra utayakuta
 
Sasa nisiamini their official website ati nikuamini wewe ng’ombe? Not in this world.
wakati naivasi ikiwa inahangaika na viduka viwili allys alikuwa anaingiza fleet ya mabasi huku azam akiwa na revenue ya 800+mil

Naivas – a case of tortoise and hare?​

May 12, 2017
Naivas supermarket logo

A case of tortoise and hare? Naivas is opening four new supermarkets just as its competitors struggle with debt and operational difficulties. The big question is whether it can manage the financial and operational demands of its expansion strategy.
The family-owned Naivas Supermarkets chain is set to open a hypermarket in Nairobi by the end of June, with other three stores to follow. It’s a bold move at a time when other Kenyan supermarket chains such as Nakumatt, Tusky’s and Uchumi are suffering growth pains.
The major problem for other retailers has been using debt to expand quickly, and testing their operational capabilities by expanding outside Kenya. By contrast, Naivas has been more cautious. If it drives this growth phase without resorting to bank loans it will be in a strong position to take on weakened competitors.
Naivas has certainly shown real patience. Tusky’s opened nine stores in 2016. Nakumatt opened four new stores, after several years of expanding its store network. Naivas opened just one store in 2016 and was the only one of Kenya’s main supermarket chains not to expand outside the country. Nakumatt and Uchumi have been forced to shut their operations in Uganda and Tanzania, having suffered unsustainable losses over several years. Although Tusky’s recently opened a new store in Uganda it is not certain how sustainable its network is there in the long term.
The first of the Naivas’s new stores will stand virtually across Ridgeways Mall where market leader Nakumatt has one of its main stores. The new Naivas site is also a few minutes away from the new Two Rivers Mall, which houses Carrefour. Naivas is betting on targeting a less a

1745056166417.png
 
Back
Top Bottom