Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maandalizi ya Samia Serengeti Music Festival, Haijawahi kutokea hapa East and Central Africa. Sisi ndio wababe wao.

1745212532989.png

1745212767339.png
 
OFF TO KENYA ✈️ WEDDING PERFORMER!, Nandy katoka Nigeria jana na anaelekea Kenya kwa Private Jet

View: https://www.instagram.com/reel/DIq1aV8AtAE/

I suspect this Wedding....

View: https://x.com/KenyanSays/status/1913820496472244702

MY TAKE

View: https://youtu.be/CSNynoAiY_I?si=6HqvXmHibG5bXaXs

Ngoja akawachezeshe "sugar" wakina Raila na Ruto huko!

View: https://youtu.be/yp03C6j68a0?si=DRym7EqRX64dxeeQ

Kwani huko Ukunyani Willy Paula na Erick Omondi hawapo? Halafu naona Nandy kakodisha charter flight toka Auricair! Vp wale Wakunya waliokuwa wanasema hakuna ndege za kukodi?
CC: IamLee NairobiWalker Teargass Nicxie nairobae n mwathadan
 
Sisi ni baba yenu, mpaka our national anthem wanachukua kwetu, bendera na vingine vingi. Lugha ya Kiswahili inafundishwa karibia Africa nzima na nyie wanjaanjaa pia mnajifunza kiswahili safi.
National Anthem mlichukua kwa wengine ama walichukua kwenu? Si National Anthem yenu ni wimbo wa kiXhosa Afrika Kusini? 🤣🤣

Lugha ya Kiswahili nayo si imeanzia Kenya ama unataka tukupe Somo kwa mara ya pili?
See why I say you're overexcited because you're rarely on spot on this continent.
 
Pole kaka kwa maumivu. Itabidi upumzike tu, hii battle imekuzidi
 
Back
Top Bottom