Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hii ni sawa na kampuni ya kuuza maji. HIL WATER. 🤣🤣🤣Teargass naongezea Short Term Liabilities ni kama
1. Salaries
2. Water Bills
3. Wages
4. Electricity Bills
Sasa Kampuni inaenda kukopa ili iweze kulipa watu mishahara. Sasa hiyo kampuni ipo na uhai kweli? 🤣 🤣 🤣 🤣