Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi BRT was proposed and wheels started rolling before yenu . Sooner you jumped the bandwagon na mkasema mnajenga yenu pia. I WILL GIVE YOU CREDIT.. you accomplished your goal despite the chaotic situation with your BRT..Ours got stuck in politics ya Matatu cartels. Nairobi then switched to Trains . Sooner you also announced Dar trains zinakuja .. you get the picture?..😄😄

Punguza kujieleza sanaa...hizo ni tabia za masikini kujieleza mno maneno mengii..

Where is your BRT ambayo ndio tume copy kwenu?
 
Mbona iishe? With a revenue of $5B Mbona iishe? Najua unatamani lakini sitaiacha.
Huna facts yoyote. Unaandika kujifurahisha tu. Evidences zote umeiweka wewe mwenyewe kuwa Safaricom ni biashara ya nyanya.

Do you have at least kidogo idea of Financial Management or Accounts?

Maana tofauti na hapo utakuwa unaleta ubishani wa kitoto.
 
Whoa ukipenda but the truth remains that Safaricom revenue is $5B.
 
This views huwezipata Vumbistan.

1745179976665.jpeg
 
What Kenya raise in funding is more than all the remaining East African countries raise combined.

View: https://x.com/MwangoCapital/status/1891367003614839209

Je, upo na elimu ya kutosha kuhusu mambo haya? Au kama kawaida yako umekurupuka tu?

Haya uliyoyaweka ni mambo ya Finance sijui elimu hii upo nayo.

There many types of investment not only those three. It depends on the goal of the country.

Hizo investment ulizoziweka zipo kwenye group la Equity Based Investments
Hapo hujaweka FDI, Infrastructure investment etc. tukikuwekea hapa utakibia uzi.
Sasa unataka tujadili hapa?
 
Hizo video umeziangalia.? 🤣🤣🤣 within Tazara station kuna commuter train. Bertin kapanda fungua video hiyo.
Hizo commuter are not worth of mentioning. Hata Nairobi ilikuwa na hizo since independence to various suburbs . We are talking of modern commuter rail specifically geared towards the metropolitan area. Sio hizo “stolen” extension za Tazara .. 😄😄
 
Sasa na wewe unapigia kelele hiyo dmu ambazo Tena mmenunua vyuma chakavu.

In April 2020 Kenya Railways acquired 11 refurbished diesel multiple units from Serveis Ferroviaris de Mallorca.[9] These trains were built between 1994 and 2003 by CAF as Serie 61 de SFM [es] and were running on the metre gauge railway network on the Spanish island of Mallorca.
 
Hizo commuter are not worth of mentioning. Hata Nairobi ilikuwa na hizo since independence to various suburbs . We are talking of modern commuter rail specifically geared towards the metropolitan area. Sio hizo “stolen” extension za Tazara .. 😄😄
Kenya to buy 25-years old second-hand diesel trains as Ethiopia,Tanzania embrace electric trains Read more: Kenya to buy 25-years old diesel trains as Ethiopia embraces electric trains

Hizi ndo unapigia kelele ambazo cost ya behewa Moja haifikii hata gharama ya kununua irzar ya katarama,
Halafu hata njia zenyewe mnatumia za mgr tu hakuna kipya mlichoongeza.
Tukisema tunununue hizo dmu tunauwezo wa kuagiza dmu sio chini 110 kama hela yenyewe mliyonunulia ndo hiyo.
Ebu angalia order Moja ya mabasi ya brt

Tanzania has ordered new BRT buses, including a phase 2 expansion, with the infrastructure costing $159.32 million. The second phase of the BRT system, spanning 20.3 kilometers, was built by China's Sinohydro Construction Limited (SCL). The buses themselves are expected to arrive shortly, with Tanzania waiting for 250 buses from China to start operating the second phase.
 
We kenyans are Far better than everyone in the region.
It will take 25years Dar to reach the level of Nairobi
Tanzania is 50 year behind kenya in infrastracture.

One of Nairobi's Bus Terminals, here you can get all buses and vans to all parts of kenya.
1745205892519.jpg
 
Back
Top Bottom