ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,355
- 88,446
Hiyo siyo harusi pekee kijana, is a bussiness event. Hapo ni fashion show, hao watanzania watapata deals kubwa sana za kimataifa. Ushamba bado umewajaa wakenya. Kwa sasa Tanzania sherehe ni business event.Yani harusi pekee inawafanya mnarukwa na akili hivi? Halafu ni Ile Ile Nigeria ambayo huwa mnasema ni ovyo sawa na Kenya ndio mnashobokea hivo?🤣🤣
Mkiacha tutauza congo, rwanda, S. Sudan na Burundi. Kenya mean nothing to TanzaniaNaona unajaribu kugeuza mjadala. Endeleeni kulia. Tutaacha kununua kwenu mahindi kabisa ndio mlie zaidi.
Nageuzaje mjadala? Wewe si ndio umesema tunalia? Wewe si ndio unalazimisha tuonekane tumekosa soko? Ndio nauliza wapi ambapo umesikia tunalia?Naona unajaribu kugeuza mjadala. Endeleeni kulia. Tutaacha kununua kwenu mahindi kabisa ndio mlie zaidi.
Muache mfe njaa??Naona unajaribu kugeuza mjadala. Endeleeni kulia. Tutaacha kununua kwenu mahindi kabisa ndio mlie zaidi.
Nimelazimisha vipi na umepost wewe mwenyewe ukilalamika? 🤣 🤣 🤣 🤣Nageuzaje mjadala? Wewe si ndio umesema tunalia? Wewe si ndio unalazimisha tuonekane tumekosa soko? Ndio nauliza wapi ambapo umesikia tunalia?
Sasa kama hamjakosa soko mbona mnalalamika Kenya tukinunua kwengine? Your whole post is so full of contradictions it's sad.Mwisho hoja ni intra-Africa trade kufeli Kwa sababu Nchi zenu zinaongozwa na mbuzi kiasi kwamba Mko radhi kwenda Brazil kununua mahindi na msagirishe Kwa gharama kubwa wakati yapo 🇹🇿 na Zambia.
Na sisi 🇹🇿 hatujawahi kosa soko hata siku Moja as we speak domestic market Kwa Sasa mda wa mavuno inakariba ni 570-800 Tsh/Kg hapo Bado NRFA hawajanunua.
I can't remember the number of times these people have bragged how much they feed us, kwamba bila wao tutakufa njaa!Naona unajaribu kugeuza mjadala. Endeleeni kulia. Tutaacha kununua kwenu mahindi kabisa ndio mlie zaidi.
Wewe naye unaandika upupu mtupu, Watanzania waombe msamha kwa Ruto kwa sababu zipi hasa??
Tanzania ndio inalisha Kenya, Rwanda na Burundi kwa asilimia zaidi ya 70%.
LOL unajua Tanzania Ina zaidi ya millions of irrigation acres of land na Tanzania ndio inalisha 75% ya mchele wa Kenya, 70% Uganda, 80% Rwanda, 70% Burundi, 40% DRC, 65% Zambia, 40% Mozambique, 89% Comoros, 35% Malawi, tunapeleka mchele mpaka Zimbabwe, Namibia
Tanzania ndio inalisha Kenya, yaani bila Tz Kenya mtaangamia kwa njaa, ardhi yenu kiduchu yenye rutuba inamilikiwa na uhuru Kenya, iliyobaki wanamiliki wazungu wanalima maua na chai, wenyeji mmekaa mmejazana Kibera pasi na matumaini yotote. View attachment 1802477
Wanacheka yet 99.99% of Tanzanian companies are only dreaming of that Ksh2B profit.Mwambie akutajie kampuni tatu zenye profit more than KES 2B ucheke. Hiki kitoto hakielewi KES 2B ni Nini maanake hakina mathematical sense kichwani. Labda kinadhani ni 2B ya madafu ya Bongolala.🤣🤣
Usitutoe kwenye mstari mzee. 🤣 🤣 🤣 🤣 Hii ni dalili ya maumivu. Now we are talking about fashion