Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hizi Stadiums Kama za Homabay ndio level ya zile takataka wanajenga pale Dodoma na Arusha.
Tulia mzee nikupige za uso. Na ukome kutujaribu. Mtu mwenye hujui Accounts 🤣🤣🤣🤣 Subiri nikupatie somo

Tunaendelea na Ratios

1745170401941.png


Total Current Asset = Ksh 82,541.9M
Total Current Liabilities = Ksh 167,822.1M

82,541.9M - 167,822.1M = -85,280.2M

Watu mnaona wenyewe 🤣🤣🤣🤣👆👆👆👆
 
Tulia mzee nikupige za uso. Na ukome kutujaribu. Mtu mwenye hujui Accounts 🤣🤣🤣🤣 Subiri nikupatie somo

Tunaendelea na Ratios

View attachment 3310493

Total Current Asset = Ksh 82,541.9M
Total Current Liabilities = Ksh 167,822.1M

82,541.9M - 167,822.1M = -85,280.2M

Watu mnaona wenyewe 🤣🤣🤣🤣👆👆👆👆
Teargass naongezea Short Term Liabilities ni kama
1. Salaries
2. Water Bills
3. Wages
4. Electricity Bills


Sasa Kampuni inaenda kukopa ili iweze kulipa watu mishahara. Sasa hiyo kampuni ipo na uhai kweli? 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom