Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya used to print money until late last year, Tanzania has never printed their money Tangu dunia ianze.
🤣🤣🤣👇👇👇Mawazo ya watu wenye njaa haya

1744994805759.png
 
Watanzania tunawatumia vzr wachina na wanatupa ujuzi kweli kweli, kule Kenya wachina wanaonwa kama miungu watu na wanaogopwa kabisa, sehemu za ujuzi mkenya anawekwa mbali kabisa na ikibidi anachapwa fimbo na mchina asisogee kabisa, huku kwetu mchina na mbongo wote wanafanya kazi pamoja na kwa urafiki mkubwa that's why it's easy for Tanzanians to adapt technology from Chinese people.
Kazi kubwa ya Nyerere.
 
Sasa naanza kushusha yale yaliyoendelea Jana Wedding of Africa. East Meet West

Yoruba Girl and Swahili Man both belong to the Niger-Congo Language, Wakenya wapo nyuma sana. Hii harusi iligeuka fashion show. Leo wanapumzika kesho harusi inaendelea. Baada ya hapo Wa Nigeria watakuja Tanzania

Kutakuwa na bonge a sherehe. Wakenya tunawakaribisha mje Tanzania

View attachment 3308590
Acha hizi utoto wewe
HApa tuko wanaume hizi upuzi ambia bibi yako.
 
Revenue ya Naivas kampuni moja pekee ni ksh 96 billion. Numbers ziko wazi. Sasa kusanya hizo kampuni zote za mwenye Azam uweke pamoja alafu utuambie kama inashinda Naivas kampuni moja pekee.
🤣🤣🤣🤣 we kweli ni mkundu wa mbuzi. Imagine the battle of supermarket outlets vs manufacturing companies 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
 
🤣🤣🤣🤣 we kweli ni mkundu wa mbuzi. Imagine the battle of supermarket outlets vs manufacturing companies 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Numbers do not lie.
 
Back
Top Bottom