Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naivas ingekua bongoslum ingekua the biggest company by revenue. Huoni hadi wametafuta company zote za Azam ndio ishindane nayo.
Naivas ndio ujinga gani?

Kwani Nakumatt iko wapi?

Kawaida ya Kucompare na Incomparable.
 
Nimepitia mitandao ya Nigeria wanalalamika kuwa Watanzania wameenda kuwaibia kila kitu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Kishindo cha Tanzania Nigeria​

 
Revenue ya Tanzania biggest bank hata haifikii revenue ya Naivas Supermarket😂😂🤣😂
Mawazo ya wakazi wa Kibera Slums 🤣 🤣 🤣 🤣

1744994478412.png
 
Back
Top Bottom