President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,013
- 93,379
Mwambie kulikuwa na Chama Cha Siasa kinaitwa Afro-Shiraz Party hapa Tanzania. Muuliza Shiraz people ni akina nani walioungana na Africa kumpinga mkoloni?🤣🤣naona unalia Lia. Miji yote ya pwani ya Africa mashariki waarabu wamekuwepo huko for centuries. Ni vile waarabu wa mombasa ni vilaza Ndio mana sio matajiri wakubwa. Waarabu wa Tanzania wanaakili mingi. So yes lipo kabila la kiarabu in Tz. And those brothers are Tanzanians born and raised in the motherland.