concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,281
- 14,309
Maskini ndo Huwa analia hasa baada ya njaa kuwa Kali. Na mara zote hujipoza na matusiLia basi.
Maskini ndo Huwa analia hasa baada ya njaa kuwa Kali. Na mara zote hujipoza na matusiLia basi.
Wewe huropokwa tu, hio hasara hata imeongezeka ju ya kampuni kuuzwa.Kwikwi toka imenununuliwa ndo kwanza amefikisha robo ya kwanza ya mwaka na ripoti ya hasara inayonesha kabla kampuni haijanununuliwa
East Africa Protectorate turned to Kenya. Are you aware that Kilimanjaro was within East Africa Protectorate which is currently Kenya? So ni nini unapinga? You are a cow.Hakukuwa na taifa la Kenya kabla ya 1920 sasa wewe unaleta kitu cha miaka ya 1880 hapa ambapo hata jina Kenya halikuwahi kuwepo.
In 1920, the East Africa Protectorate was turned into a colony and renamed Kenya after its highest mountain.
Mipaka inayotambulika ni baada ya uhuru wenu wewe nyangau
Na
On 12 December 1964, the Republic of Kenya was proclaimed, and Jomo Kenyatta became Kenya's first president. Under Kenyatta, corruption became widespread throughout the government, civil service, and business communit
Sasa unataka kulia?Maskini ndo Huwa analia hasa baada ya njaa kuwa Kali. Na mara zote hujipoza na matusi
Kwa hivyo Kenya inauza basi pekee bongoslum? You are a smart fool.Basi la 35mil linanunuliwa baada ya miaka miwili . Total order of Kenyan buses kwa mwaka mzima au ununuzi wa mabasi ya kikenya kwa mwaka haufuki hata 100 units. Ila Kila siku ukieenda namanga Kuna msururu wa trucks kwa zaidi ya km 2 mbili zinaleta mizigo Kenya vikiwemo viatu. Mtu akipiga trip 10 tu kwa miezi 6 kashazid dhaman ya basi wakati nyinyi hata deni la mkopo wa basi linakiwa halijaisha.
Kwa kununua mabasi Kenya tunawafanyia msaada msife njaa , ndo maana mnaona tunaagiza units 100 kwa mwez toka china Kila mwezi ila tunanunua units zisizozid 10 toka Kenya kwa mwaka mzima
Jina Kenya limeanza kutumika 1920.East Africa Protectorate turned to Kenya. Are you aware that Kilimanjaro was within East Africa Protectorate which is currently Kenya? So ni nini unapinga? You are a cow.
Rudia neno currently Kenya kwahiyo Kuna utofauti kuwa haikuwa Kenya bali ilikuwa ndani ya easta Africa protectorateEast Africa Protectorate turned to Kenya. Are you aware that Kilimanjaro was within East Africa Protectorate which is currently Kenya? So ni nini unapinga? You are a cow.
Watanza wanne tu wanamiliki kunyarenda. 🤣🤣🤣Watanzania wanne ama Warabu wanne?😂😂🤣
Kwani Lori ya Tanzania iliyoleta mzigo ukunduni ikishashusha haiwezi kukodiwa na mkunya kubeba mzigo kupeleka sehemu nyingine ukunyani?Yani nimekuonyesha Lori ya Tanzania ikibeba tiles Ruiru na unapiga kelele eti hamwezi nunua udongo kutoka Ruiru. Najua hujajenga nyumba, Jenga kwanza utajua tu 😂
Hakuna kinachoonekana kutoka Kenya hata ukienda namanga kati ya trucks 200 za kwenda Kenya utakutana na truck 5 kutoka Kenya kuja Tanzania . Sasa mnauza Nini?Kwa hivyo Kenya inauza basi pekee bongoslum? You are a smart fool.
Hawajawahi toka nje ya kibera hao kujua dunia inaelekea wapiNilitaka nimjibu hivi hivi, tatizo hawa watu ni washamba sn aloo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Kutoka ruiru mpaka namanga Kuna 188km na Kuna miji katikati naa maduka .tiles in Tanzania ziko cheap kuliko KenyaKwani Lori ya Tanzania iliyoleta mzigo ukunduni ikishashusha haiwezi kukodiwa na mkunya kubeba mzigo kupeleka sehemu nyingine ukunyani?
Hujui Buguruni wewe hii picha sio BuguruniBRT ya kukata uswazini 🤣🤣🤣
View attachment 3307385
Mfano tu cement Kenya sasa hivi SI chini ya 850 sawa na 17,000 ya tZ ila dangote dodoma inauzwa 15,000 km 1000 toka mtwara hiyo ni cement tile nikiweka atalia hapaKwani Lori ya Tanzania iliyoleta mzigo ukunduni ikishashusha haiwezi kukodiwa na mkunya kubeba mzigo kupeleka sehemu nyingine ukunyani?
You are a cow, Somalia was under Italian empire.Jina Kenya limeanza kutumika 1920.
Cha pili lazima utambue east Africa protectorate na Kenya ni vitu viwili tofauti. East Africa protectorate ilijumuisha the current Kenya na somalia .
Sasa unachotakiwa kutambua ni kuwa Kilimanjaro halikuwahi kuwepo ndani ya Kenya bali ilikuwapo ndani ya east Africa protectorate ambayo ilicomprise somalia.
Kenya kama Kenya halijawahi kuwa na Kilimanjaro kamwe.
Kuna utofauti wa Kenya kama Kenya na east African protectorate
Sanasana itakuwa imebeba wasomali na wakunya wazamiaji 😁Hakuna kinachoonekana kutoka Kenya hata ukienda namanga kati ya trucks 200 za kwenda Kenya utakutana na truck 5 kutoka Kenya kuja Tanzania . Sasa mnauza Nini?
Mmekwamilia koti ya mwarabu mtu angedhani all Tanzanians are orphans.😂😂🤣😂Watanza wanne tu wanamiliki kunyarenda. 🤣🤣🤣